Tetesi: Habari ya kuanzishwa Tanzania Commercial Bank ina ukweli? Na iwapo ni ya kweli, nini zitakuwa faida na hasara zake kwa benki za biashara nchini?

Tetesi: Habari ya kuanzishwa Tanzania Commercial Bank ina ukweli? Na iwapo ni ya kweli, nini zitakuwa faida na hasara zake kwa benki za biashara nchini?

Tija kwenye bank ni ipi?! Na tija hiyo ni kwa wananchi au kwa serikali?!
Mimi sio mtaalam wa banking system, hila naelewa kwa uchache kwa both serikali na mwananchi kwa mfano mimi kama mwananchi nahitaji huduma bora, mikopo nafuu riba, usalam wa pesa yangu . Upande wa serikali wanahitaji stability ya banking system kwa ujumla ni economy, usimamizi sahihi wa bank, ku avoid utakatishaji wa pesa kupitia baadhi ya bank kwa mfano bank ya FBME. Na kuwahakikishia wananchi usalama wa pesa zao yasirudie ya GREENBANK kama nipo sahihi, na faida kwao.n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi UJAMAA hua uko kwny damu kabisaaa,UBEPARI hua tunalazimishwa tu.
 
Wapi TBC? Wapi TTCL? Wapi ATCL? Hiyo Bank itafuata Nyayo za MABRAZA ZAKE.
 
Kigogo anamnyima jiwe usingizi!!!Kuna mdororo wa kiuchumi anataka kuokoa uchumi kwa kuanzisha TCB!!!Kafeli sana in kigogo tweets!!!
 
Hakuna cha hisa wala nini, ttcl wamejaa maccm wajinga wajinga pale hakuna kitu wana fanya.
Ni kwa vile tu huko kwingine kote washika mpini wana hisa kubwa, tofauti na hapo ingekuwa ni swala la wakati tu wote tungekuwa tunaimba mapambio ya TTCL.
 
Ingekua enzi za JK ingewezekana.. tatizo lansasa hivi DG wa kila kitu yupo magogoni
Nnachofaham, NMB, NBC, CRDB, TPB, TIB zina chembe chembe za userikali. Tujiulize kuna unafuu wowote huko kwa watumiaji?

Endapo itaanzishwa wajipange kuwa na huduma bora wakitumia zaidi teknolojia, hakuna haja ya kuwa na matawi mengi, mambo yote mtandaoni na kiganjani kwa simu. Riba rafiki kwenye mikopo na vigezo vinavyoendana na mazingira yetu wananchi tulio wengi.

Ni hayo tu kwa sasa.
 
Hapana si kwamba hawataki wawekezaji, hawataki utiriri wa kuwa na financial institution nyingi ambazo hazina tija kiuchumi, goverment wata merge bank zao na private watafanya kivyap kwa namna wanayoona hila mwisho wa siku lazima bank ziwe chache zenye tija.

Sent using Jamii Forums mobile app
Private Banks kuzilazimisha ku_merge hiyo si sawa. BoT wafanye kazi yao ya ku_regulate Banks na sio kuzilazimisha ku_merge hata kama wamiliki hawaingizi hasara.
 
Wamejaza maccm pale yanashinda yanajadili buku 7
Nina wasiwasi hata hawa LB7 yaani "Lumumba BUKU 7" watakuwa wanapewa bundle za data bure kutoka TTCL ili waendeleze propaganda mitandaoni bila kikwazo.
 
Unaposema "kuanzishwa kwa benki ya aina hiyo" unamaanisha nini. Tanzania tayari kuna commercial banks nyingi tu. Zisizo commercial banks ni chache sana. Hilo Tanzania Commercial Bank ndilo jina la hiyo benki au ni aina ya hiyo benki mpya? Nafikiri utafute taarifa zaidi uwe "more informed" juu ya hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nafikir ww ndio more informed anachosema mleta mada ni kwamba mwenye nchi yake anataka kuanzisha commercial bank ambayo itakuwa inamilikiwa na serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mtaalam wa banking system, hila naelewa kwa uchache kwa both serikali na mwananchi kwa mfano mimi kama mwananchi nahitaji huduma bora, mikopo nafuu riba, usalam wa pesa yangu . Upande wa serikali wanahitaji stability ya banking system kwa ujumla ni economy, usimamizi sahihi wa bank, ku avoid utakatishaji wa pesa kupitia baadhi ya bank kwa mfano bank ya FBME. Na kuwahakikishia wananchi usalama wa pesa zao yasirudie ya GREENBANK kama nipo sahihi, na faida kwao.n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo serikali ikimiliki banks ndio uchuki utakuwa secured, na zikiwa zinamilikiwa na serikali hao serikali watalipa kodi serikalini pia au ndio kila mapato yatakuwa faida na kujilipa magawio?!
Nijuavyo mimi serikali inapaswa iwe watchdog isishindane na sekta binafsi ambao ndio walipa kodi.
Nimeona wanasema we want few or one bank owned by government, hapo ndio nikajiuliza kwanini wao wanataka kuhodhi banking system yote, kuna siri gani wanataka kuificha, wakope wao nje wakopeshe wao ndani, walipwe wasilipe kodi nchini, hiyo ndiyo security wanayoitaka.
 
Back
Top Bottom