Hana maana hiyo ,wewe ndio unamaana hiyoAna maana bank yenye jina la Tanzania Commercial Bank TCB ambaye inasemekana ita replace TPB na TIB.
Hivi nini ulichoshindwa kuelewa hapo?!
Mtoa taarifa wa hii habari kupitia twitter, kadai kuwa Wakuu wa taasisi na mashirika ya umma wote wameitwa Dom kuhusiana na uanzishwaji wa hii benki.Kama ni kweli,ni wazi mishahara ya watumishi itatakiwa kupitishwa kupitia hii benki na ndio maana wameitwa.Magufuli anatamani kufanya kila kitu wakati akiua kilakitu
Na TIB!!?? Sasa hapo wakiiua TIB si ndiyo itakuwa shughuli pevu kwa wale wanaohitaji investment loans? Ngoja tusubiri tuone.Ana maana bank yenye jina la Tanzania Commercial Bank TCB ambaye inasemekana ita replace TPB na TIB.
Kwa sababu ya kuwa na wafanyakazi kama USSRHivi TTCL inakwapa wapi?
Kuna watu wana matatizo sana, lakini yawezakuwa chanzo siyo wao. Kamwe mimi silaumu jinsi ulivyo kwani naamini siyo kosa lako.Kajamaa kanatoaga habari kwa kigogo kanaleta huku!
Kama unamwamini sana Kigogo mwambie awe anakupa taarifa za kabla ya mvurugano chadema ili muwe mnauzima mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeumia sana bila shakaKuna watu wana matatizo sana, lakini yawezakuwa chanzo siyo wao. Kamwe mimi silaumu jinsi ulivyo kwani naamini siyo kosa lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nnachofaham, NMB, NBC, CRDB, TPB, TIB zina chembe chembe za userikali. Tujiulize kuna unafuu wowote huko kwa watumiaji?
Endapo itaanzishwa wajipange kuwa na huduma bora wakitumia zaidi teknolojia, hakuna haja ya kuwa na matawi mengi, mambo yote mtandaoni na kiganjani kwa simu. Riba rafiki kwenye mikopo na vigezo vinavyoendana na mazingira yetu wananchi tulio wengi.
Ni hayo tu kwa sasa.
Kama watu wanacheka picha halisi ya mtu wanakamatwa,habari kama hizi itakuwaje?!!Kajamaa kanatoaga habari kwa kigogo kanaleta huku!
Kama unamwamini sana Kigogo mwambie awe anakupa taarifa za kabla ya mvurugano chadema ili muwe mnauzima mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
They want government owned bank. Hawataki wawekezaji tena?!Hizi taarifa za muda labda mchakato ndio umekamilika sasa, sana nina imani wao walisha jiridhisha kua kuna manufaa kiuchumi ni suala endelevu bank nyingi tu wataziunganisha. Mwanzoni wakati magua anaingia ndio ilikua moja ya agenda zake, nchi hiwe na bank chache zenye nguvu kuliko kuwa na msululu wa mabank kibao amabyo hayana tija, na sio jambo la ajabu kuna nchi kibao zina benki chache imara, cha msingi ni kuongeza wateja kwa kuwafikia wananchi wengi zaidi na huduma boraView attachment 1456638View attachment 1456639View attachment 1456641
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wewe ni mgeni hapa, humfahamu vizuri Salary Slip kwa jinsi ambavyo siku hizi amekuwa akiandika kwa mitego na tahadhari kubwa!!!Unaposema "kuanzishwa kwa benki ya aina hiyo" unamaanisha nini. Tanzania tayari kuna commercial banks nyingi tu. Zisizo commercial banks ni chache sana. Hilo Tanzania Commercial Bank ndilo jina la hiyo benki au ni aina ya hiyo benki mpya? Nafikiri utafute taarifa zaidi uwe "more informed" juu ya hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
TPB na TIB ndo mali ya umma kwa asilimia zote, hizo nyingine zishabinafsishwa ila serikali ina hisa kidogoNnachofaham, NMB, NBC, CRDB, TPB, TIB zina chembe chembe za userikali. Tujiulize kuna unafuu wowote huko kwa watumiaji?
Endapo itaanzishwa wajipange kuwa na huduma bora wakitumia zaidi teknolojia, hakuna haja ya kuwa na matawi mengi, mambo yote mtandaoni na kiganjani kwa simu. Riba rafiki kwenye mikopo na vigezo vinavyoendana na mazingira yetu wananchi tulio wengi.
Ni hayo tu kwa sasa.
TPB na TIB ndo mali ya umma kwa asilimia zote, hizo nyingine zishabinafsishwa ila serikali ina hisa kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ttcl inakwamishwa na wafanyakazi wenye welesibndogoHivi TTCL inakwapa wapi?
Hilo neno la mwisho ni kitu gani?Ttcl inakwamishwa na wafanyakazi wenye welesibndogo
Hapana si kwamba hawataki wawekezaji, hawataki utiriri wa kuwa na financial institution nyingi ambazo hazina tija kiuchumi, goverment wata merge bank zao na private watafanya kivyap kwa namna wanayoona hila mwisho wa siku lazima bank ziwe chache zenye tija.They want government owned bank. Hawataki wawekezaji tena?!
Tija kwenye bank ni ipi?! Na tija hiyo ni kwa wananchi au kwa serikali?!Hapana si kwamba hawataki wawekezaji, hawataki utiriri wa kuwa na financial institution nyingi ambazo hazina tija kiuchumi, goverment wata merge bank zao na private watafanya kivyap kwa namna wanayoona hila mwisho wa siku lazima bank ziwe chache zenye tija.
Sent using Jamii Forums mobile app