Kampuni imejaa wazee, wanatakiwa waajiri damu mpya kama ilivyokuwa TPB. Hata TPC utaona inapigwa bao na DHL kitu ambacho ni aibu kubwaTtcl inakwamishwa na wafanyakazi wenye welesibndogo
Mimi sio mtaalam wa banking system, hila naelewa kwa uchache kwa both serikali na mwananchi kwa mfano mimi kama mwananchi nahitaji huduma bora, mikopo nafuu riba, usalam wa pesa yangu . Upande wa serikali wanahitaji stability ya banking system kwa ujumla ni economy, usimamizi sahihi wa bank, ku avoid utakatishaji wa pesa kupitia baadhi ya bank kwa mfano bank ya FBME. Na kuwahakikishia wananchi usalama wa pesa zao yasirudie ya GREENBANK kama nipo sahihi, na faida kwao.n.kTija kwenye bank ni ipi?! Na tija hiyo ni kwa wananchi au kwa serikali?!
Telecom industry ni ngumu sana na inataka creativity sasa kuwatoa hao sokoni ni either uwaondoe kabisa iĺa kama bado wana exist ni inshu sana kucompete naoVodacom, Halotel, Tigo n.k wamepona sababu kuna watu wana hisa nzito humo. La sivyo sote tungeimba wimbo wa TTCL.
Sent using Jamii Forums mobile app
sekenke mkuuHivi TTCL inakwapa wapi?
Hivi TTCL inakwapa wapi?
Ni kwa vile tu huko kwingine kote washika mpini wana hisa kubwa, tofauti na hapo ingekuwa ni swala la wakati tu wote tungekuwa tunaimba mapambio ya TTCL.
Nnachofaham, NMB, NBC, CRDB, TPB, TIB zina chembe chembe za userikali. Tujiulize kuna unafuu wowote huko kwa watumiaji?
Endapo itaanzishwa wajipange kuwa na huduma bora wakitumia zaidi teknolojia, hakuna haja ya kuwa na matawi mengi, mambo yote mtandaoni na kiganjani kwa simu. Riba rafiki kwenye mikopo na vigezo vinavyoendana na mazingira yetu wananchi tulio wengi.
Ni hayo tu kwa sasa.
Anamaanisha "weledi mdogo"Hilo neno la mwisho ni kitu gani?
Private Banks kuzilazimisha ku_merge hiyo si sawa. BoT wafanye kazi yao ya ku_regulate Banks na sio kuzilazimisha ku_merge hata kama wamiliki hawaingizi hasara.Hapana si kwamba hawataki wawekezaji, hawataki utiriri wa kuwa na financial institution nyingi ambazo hazina tija kiuchumi, goverment wata merge bank zao na private watafanya kivyap kwa namna wanayoona hila mwisho wa siku lazima bank ziwe chache zenye tija.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina wasiwasi hata hawa LB7 yaani "Lumumba BUKU 7" watakuwa wanapewa bundle za data bure kutoka TTCL ili waendeleze propaganda mitandaoni bila kikwazo.Wamejaza maccm pale yanashinda yanajadili buku 7
Mkuu nafikir ww ndio more informed anachosema mleta mada ni kwamba mwenye nchi yake anataka kuanzisha commercial bank ambayo itakuwa inamilikiwa na serikali.Unaposema "kuanzishwa kwa benki ya aina hiyo" unamaanisha nini. Tanzania tayari kuna commercial banks nyingi tu. Zisizo commercial banks ni chache sana. Hilo Tanzania Commercial Bank ndilo jina la hiyo benki au ni aina ya hiyo benki mpya? Nafikiri utafute taarifa zaidi uwe "more informed" juu ya hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusubiri bro baada ya 2025 kuna menhi sana tutayajua NB Majaliwa,Makonda na Jaffo wasiwe rais au mawaziri wakuuDuu isije kuwa yale mambo ya deep green na Anglo gold yanataka kujirudia
Jr[emoji769]
Hivyo serikali ikimiliki banks ndio uchuki utakuwa secured, na zikiwa zinamilikiwa na serikali hao serikali watalipa kodi serikalini pia au ndio kila mapato yatakuwa faida na kujilipa magawio?!Mimi sio mtaalam wa banking system, hila naelewa kwa uchache kwa both serikali na mwananchi kwa mfano mimi kama mwananchi nahitaji huduma bora, mikopo nafuu riba, usalam wa pesa yangu . Upande wa serikali wanahitaji stability ya banking system kwa ujumla ni economy, usimamizi sahihi wa bank, ku avoid utakatishaji wa pesa kupitia baadhi ya bank kwa mfano bank ya FBME. Na kuwahakikishia wananchi usalama wa pesa zao yasirudie ya GREENBANK kama nipo sahihi, na faida kwao.n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili laweza kuwa lengo kuuDuu isije kuwa yale mambo ya deep green na Anglo gold yanataka kujirudia
Jr[emoji769]