Habari za huku kaka zangu na dada zangu ninawazo kidogo la biashara naombeni ushauri wenu.

Hii 70 unayozungumzia ni kwa semister nzima ama kwa mwezi?
 

Hio 70 kama ni kwa semister nzima ni reasonable kwa hio bei ila kama ni kwa mwezi mmoja tu kati ya mi4 haitofaa,
 
Naona kama umeover estimate hesabu, kwani semister huwa si ni mbili kwa mwaka? Au kuna vyuo vina semister 3 mjini hapa?
 
Hio 70 kama ni kwa semister nzima ni reasonable kwa hio bei ila kama ni kwa mwezi mmoja tu kati ya mi4 haitofaa,
Kasema Kwa mwezi, means Kwa semester ni 70 x 4= 280

invest what you are willing to lose
 
Mimi nilikataa kukaa hosteli za chuo ada ilikuwa 150,000 kwa mwaka ... Kwenye idea yako jua pia kuna mijianafunzi kama Mimi sijui utaishauri vipi ije kuishi hostel kwa shilingi elfu 70 kwa mwezi

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Na majumba yanavyobomolewa Siku hizi mhhhh

Mpe anae kupa
 
We pimbi kweli huna kiwanja na wala huna pesa we cha kufanya uza hilo wazo lako la biashara kwa watu wenye pesa
Wakupe laki mbili zako ukaze mayebo yebo manzese ili uache kukomaa na bishara ambayo huna chochote zaidi ya hayo mapu........ Yako tu
Am soooooorrry

Mpe anae kupa
 
Hahahahaa nimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah hadi inatia huruma.
 
Hahahahaa nimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah hadi inatia huruma.
Yy hana chochote hana pesa wala hana kiwanja
Mwanzo nlivyosoma post yako nkajua anacho kiwanja so anahtaji support
Na magu alivyobana pesa Hanna MTU watoa pesa take hovyo hovyo bwasheeeee

Mpe anae kupa
 
Kwa gharama za kiwanja sinza na gharama z ujenzi, hostel ni uwekezaji wa muda mrefu yaani 'rate of return on investment' ni ndogo lakini wenye pesa wanapendelea miradi ya majumba kwakuwa ni 'low risk'. Sio mradi sahihi kwa mtu asie na pesa za kutosha au hata kiwanja kwenye eneo zuri.
 
πŸ˜€πŸ˜€
Nmecheka japo sio mazuri
 
ndoto za mchana hizo ndugu,,,,,ila usikate tamaa pengine zinaweza kujaa kuleta manufaa siku za usoni...MUNGU akutangulie
 
Elfu sabini kwa mwezi mbona ni kodi ya chumba kizuri tu

Hiyo plan yako inabidi iwe realistic, ni vigumu mtu kulipa 70K kwa mwezi na akitaka kumleta girlfriend/boyfriend wake hadi aende guest house

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru ndugu nitaboresha wazo langu vyema zaidi
 
Hahhaa jamani, kujenga wajenge wao, wakupe vyumba kumi, baada yakumaliza kurudisha hela yao wakupe wewe jengo ambalo kuanzia kiwanja hadi finishing wamegharamia wao, hebu tuambie kwakuwa wewe unakuwa umechangia kitu gani? Wazo la biashara au? Natamani kujua kilichosababisha uwaze kuwa hicho kitu kinawezekana.
 
Dogo amka kwenye ndoto ndefu, huna Kiwanja, huna pesa then ujikute ghafla unamiliki hostel. Pambana na hali yako kwanza halafu urudi na plan mpya sio hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaskini mbaya sana,unaweza kukupelekea kuwa chizi hasa kwa graduate.Unakuta ana mawazo makubwa ila mfukoni kweupe,daaa mola MPE nguvu ya kuanza na kidogo mja wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…