Habari za huku kaka zangu na dada zangu ninawazo kidogo la biashara naombeni ushauri wenu.

Habari za huku kaka zangu na dada zangu ninawazo kidogo la biashara naombeni ushauri wenu.

Yy hana chochote hana pesa wala hana kiwanja
Mwanzo nlivyosoma post yako nkajua anacho kiwanja so anahtaji support
Na magu alivyobana pesa Hanna MTU watoa pesa take hovyo hovyo bwasheeeee

Mpe anae kupa
Tens hesabu zenyewe hazijui vzr

Mwanafunzi gani alipe 70k room yakuchanga sinza

invest what you are willing to lose
 
Nadhani hili wazo lilimjia ndotoni wakati anawaza namba ya kupambana na halo yake,usingizi ylivyokata akakurupuka na kuja hapa Jf.Jamani wataalam wa kutafsiri ndoto acheni kuwaaminisha watu kwamba ndoto zina uhalisia,mawazo ya ndotoni goes like miujiza ya walokole huwa yanawateka watu wenye msongo mkubwa wa mawazo kutokana na changamoto nyingi za kimaisha.Let us cool down jamani tusipanic sana.Over expectations ni mbaya sana,sorry for that.
 
Back
Top Bottom