Nadhani hili wazo lilimjia ndotoni wakati anawaza namba ya kupambana na halo yake,usingizi ylivyokata akakurupuka na kuja hapa Jf.Jamani wataalam wa kutafsiri ndoto acheni kuwaaminisha watu kwamba ndoto zina uhalisia,mawazo ya ndotoni goes like miujiza ya walokole huwa yanawateka watu wenye msongo mkubwa wa mawazo kutokana na changamoto nyingi za kimaisha.Let us cool down jamani tusipanic sana.Over expectations ni mbaya sana,sorry for that.