Habari za Kusagana, Ngono, na Serikali ya CCM!

Habari za Kusagana, Ngono, na Serikali ya CCM!

NN. Katika jamii yetu shoga ni yule aliye submissive. Wale ambao wanawatumia wenzao hata siku moja hawaitwi mashoga. Ndiyo maana vijana wanaona sifa kuvizia walevi wakianguka ili wawatumie. Wao wanaona kufanya hivyo ni u-macho. Kwa hali hiyo hao wote wanaowabaka watoto wadogo wa kiume hawahesabiwi kama gay bali heterosexuals. Go figure!

Amandla......

FM.. kumbuka kwetu dhana ya orientation ya sexuality bado ni ngeni. Sisi tunamuangalia mtu kuwa ni shoga (awe mwanamme au mwanamke) kwa kile tunachoweza kukiita anachofanya kitandani. Mwanamme anayekubali kuingiliwa ndiyo shoga (anakuwa kama mwanamke) na mara nyingi we judge them by their effeminate look.

Vile vile kwa wasichanga ambao ni lesbians ni hivyo hivyo kwamba kati yao kuna "anayemsaga" mwingine which to some ni kama kuna ambaye ni "mwanamme" kati yao.

Kwa nchi nyingine ni suala la mvuto; kwamba haijalishi kama uko juu au chini, as long as unavutiwa na mtu wa jinsia yako wewe basi ni shoga. Ni kwa sababu hiyo unaweza kushangaa kuwa mashoga Tanzania yawezekana ni wengi kuliko tunavyofikiria na kuwacheka kina Aunt Mood na Aunt Suzy ambao in reality they are more like transgenders or transexuals kuliko homosexual in the classical definition of the word.
 
NN. Katika jamii yetu shoga ni yule aliye submissive. Wale ambao wanawatumia wenzao hata siku moja hawaitwi mashoga. Ndiyo maana vijana wanaona sifa kuvizia walevi wakianguka ili wawatumie. Wao wanaona kufanya hivyo ni u-macho. Kwa hali hiyo hao wote wanaowabaka watoto wadogo wa kiume hawahesabiwi kama gay bali heterosexuals. Go figure!

Amandla......

Duh! Haya bana. Kwa mtazamo wangu mimi homosexual ni yule ambaye yuko attracted kwa mtu mwenye jinsia sawa na ya kwake licha ya role atakayokuwa nayo wakati wa shughuli.

Anyway, jambo la muhimu ni wote (heterosexuals, homosexuals, bisexuals, metrosexuals and any other sexuals) kutendeana na kupeana heshima sawa kama binadamu.
 
Is it evil? I don't believe it is evil in a sense of hurtful to the innocents or to someone who practices it. I believe however, homosexuality is morally wrong as it poses the greatest threat to traditional and natural family life. It is a product of counter culture, and can not be promoted as an alternate lifestyle. it is not.

How does homosexuality pose a threat to what you call a traditional and natural family life? And what is a natural and traditional family life? In some of our tribes, women married other women. Would you then call it non-traditional because it offends your judaeochristian sense of propriety? In some of our tribes ( and religions) men were allowed to marry girls as young as 8. Do you see this as a lesser wrong than homosexuality just because the marriage is consumated between two people of different genders?

Homosexuality is not a recent invention. The Greek, who you quoted, acknowledged and practised homosexuality. Michelangelo, Leonardo da Vinci, James baldwin, Michel Foucault were all homosexuals. Does this make all their contributions to human society any the less?

Homosexuality is not an alternative lifestyle. It is more than that. There are people who happen to be homosexual just as there are those who happen to be heterosexual. Pretending that those who are homosexual do it out of a lifestyle choice is to do them a great injustice. Most of them did not choose to be that way. Come to think of it, who, in his/her right mind would choose to be gay/lesbian in this homophobic world? With all the sufferation and tribulations that come with it!

Amandla......
 
Uko sahihi kuwa tuko boti tofauti. Wewe unaona homosexuality ni evil wakati mimi sioni hivyo. Sitakuja kumkataa/kumkana mtoto,ndugu au rafiki yangu ati kwa sababu yeye ni lesbian au shoga.

Amandla..........

Kwa hiyo kumbe utawaambia watoto wako kuhusu uzuri wa usagaji na ushoga?? LOL,

Mkuu unachanganya na kulazimisha vitu mahali sio pake! kusema jamii iko 'secret' haiko wazi, haimaanishi iwe opn kwa kila kitu! kuna matatizo hayo y mila zetu, lakni sio uwazi wa kuwa ushoga na usagaji is acceptable and they have no harm in society!

Nikakuleza kuanza kuongea nao ndio mwanzo wa kuwapa hamasa ya wao kufanya watakavyo. Kwako kama hizo tabia hazina tatizo, then your in it man!

Kwako wewe akija mwanaume mwenzako na kusema anataka umpande basi hutmfukuza utampokea, na kama utakataa basi lazima uwe na reason ya kufanya hivyo,MAANA KWAKO SI TATIZO?? how can you escape??

Nikasema kama jamii inaamua basi ni kutovipa nafasi hivi vitu katika jamii, unapowapa nafasi basi kesho si ajabu tukapata marais, mawaziri, viongozi wa misikiti na makanisni ambao ni mashoga

wait.. a.. minute

Tabia hizi uanza kwa kujaribu (watch Steve Wilkos show), then when unatural thing appeoved andaccpted to be natural , inakuwa ni tabia kama addiction fulani hivi.

Kwako wewe huwezi ukakaa chini kukataza watoto wako wasijiunge na hili £$$%&&*(()%%$, kwani kwako ni acceptable. nikaseam do not give them chance

If you belive in God your hypocrite! When God finished creation; ''God saw all that he made, and it was very good'' Genesis 1:31. You are the product of man and woman, unless kuna wanasayansi wametengeneza sperm! na BINADAMU HATAKOSA LA KUSEMA KUJUSTIFY utumbo wake!

To justify these habits is to go against God, and see nature inakuzomea!!!!!!!!!!!!!!

Kesho mtoto wako wa kiume akikuletea mume please mpokee!!!! mzee acha uzungu mtu wangu! sio kila wafanyacho wale watu na wewe uige , hutakuwa na jina lingine zaidi ya kuwa MTUMWA!
 
Waberoya!

Haya mimi ni hypocrite. Mungu ninaemwamini mimi bila shaka si Mungu unaemwamini wewe. Unasema kuwa Mungu alipomaliza kuumba akaangalia matokeo na akaona ni njema. Kazi hiyo ilikamilika pale alipomuumba Eve/Hawa kutokana na mbavu ya Adam. Hakuumba binadamu mwingine. Kutokana na hawa wawili ndiko sote tulikotoka. Tunachoambiwa katika kitabu hicho hicho ni kuwa watoto wa hawa wawili walikuwa Cain na Abel, wanaume watupu. Sasa kama ni hivyo, hawa walizaa na nani? Logic inasema ni kuwa walizaa aidha na mama yao au dada zao maana walihitaji mwanamke ili waongezeke! Kama walifanya hivyo basi wali-commit incense, mojawapo ya vitendo ambavyo vinalaaniwa sana katika jamii yetu! Kwa mmisheni mzuri kama wewe, hii inamaana kuwa sisi wote tumelaaniwa maana tumetokana na kitendo haramu. Kama si hivyo, basi incense ni ruksa maana waliotutangulia wametuonyesha njia!

Unaniambia niache uzungu maana unaona uzungu ni upotevu. Huo huo uzungu uliokuletea kitabu unachotaka kutumia kunihukumu. Mtumwa sasa ni nani baina yangu na wewe, wewew unaechukuwa unayoambiwa bila ya kuyatafakari ama mimi ambae nadiriki kutafakari kile nilicholetewa?

Nimekuuliza, utafanya nini mtoto wako akikutaarifu kuwa yeye ni shoga au msagaji, unapata kigugumizi. Je utamhukumu na kumlaani, tofauti na unavyoagizwa katika kitabu chako kuwa wewe si wa kutoa hukumu? Au utafanya nini?

Unaniuliza mwanaume mwenzangu akinitaka nitafanya nini? Nitafanya kile ambacho nafanya kila nikipita mtaa wa Ohio na mabinti kuniambia kuwa wako tayari kunistarehesha. Nitamwambia mimi huko siko muelekeo wangu. Kwa heshima na ninaamini atanisikiliza. Kama vile wanavyonisikiliza hao mabinti. Kwani, Mkuu, umemkubalia kila aliyekutaka?

Mimi sioni sababu ya kuwaficha wanangu hali ya dunia ilivyo. Kuongea nao si kuwaambia wakafanye. Huo utakuwa ni uamuzi wao si wangu. Ila ignorance haitakuwa excuse yao watakapoona kuwa wamekosea.

Wewe, Mkuu, ni bigot. Full stop. Tofauti na mfundisho ya dini yako ambayo yanakazania upendo, uvumilivu na msamaha wewe unatanguliza chuki na kuhukumu. Kweli, huyo Mungu unaemwabudu si Mungu ninaemwabudu mimi, mmisheni mwenzangu.

Amandla.........
 
Mkuu naona unachanganya maada! swala la akina Abel na Cain kuzaa na dada zao au ndugu zao Mungu aliruhusu na hakuwa na sida nalo at that time kipindi cha akina Noah, Enock na Adam. Mungu huyohuyo alikuja kukataza watu wasiendelee kuoana ndugu kipindi cha akina Musa! he is genius! ni katika kipindi hicho ambako akapiga marufuku kulala jinsia moja(ambayo wewe una-una i-accept!)

Mzee kusema kuwa nachukua biblia bila kutafakari ni kuonyesha kuwa huko ignorance angalia jibu hapo juu!!! uko shallow mfano wa cain na abel hata mtoto mdogo leo anaweza kukujibu kwa nini walioana ndugu na akakujibu ni lini na wapi Mungu alikataza wasiendelee, sijaona point ya kutafakari maandiko hapa! kama unaona wayahudi kusambaza dini duniani na mimi kuwa mtumwa wa ukristo then I am proud of that!

Mkuu watoto wangu hata siku moja hawatathubutu kuja kwangu na kunieleza utumbo wa ushoga na usagaji, kama wewe leo usivyoweza kwenda kuwaeleza wazazi wako kuwa una accept haya mambo!

Nasema jamii ikisharuhusu haya mambo then kesho mkuu uwe tayari kuhudhuria ndoa ya jinsia moja! tukishatoa mwanya kama huu, then watu wa haki za binadamu wanakuja.

Mkuu you have to mentor yo children kuna wakati hautakiwi kuwapa uhuru watoto wako, mzee umelelewa wapi?? kwako wewe ni hiari ya mtu kuishi atakavyo?? hata akiamua kutumia mdawa ya kulevya ili mradi hamuathiri mtu mwingine then is Ok? dunia haeindi hivyo, wako wanaoona sawa kuua, kuiba, kufanya ufisadi, kubaka watoto wadogo and they feel OK!

Narudia tena, wewe ni modern man! uko mbali ndugu yangu, wewe umeendelea sana, wewe una kila sababu ya kuitwa mtu unayeona dunia ilivyo na kweli unajua mambo!

Mimi nimelelewa na ninaamini ilikuwa sahihi kuogopa haya mambo, mkuu yanatisha, nashangaa hata ujasiri huu unautoa wapi, sio mwenzangu wewe kama mimi unaniona bigot then ninafurahia hali hii. Hormones can be dormant also can be stimulated! we do not want for any how to stimulate hivi vitabia!

Jamii inakwepa wajibu wake,viongozi wamelala, kama jamii husika ingeshikamana na kupinga hii hali, usingsikia popote, acha wafanye kisiri huko, mkuu tangu nasoma mpaka nmaliza kidato cha sita sikuwahi kusikia wanaume wanaweza kulala pamoja! SIKUWAHI AND THAT WAS GOOD FOR US!, mkuu wazazi wako wameshawahi kukaa na wewe wakakueleza mambo haya? huoni unapompa uhuru teenegers waamue waakavyo siku zote watachagua upande ambao ni worse wakidhani ni mzuri?

KUNA MAMA MMOJA ANAFANYA RESEARCH YA PORNOGRAPH-jimbo la Aleberta canada,, NA AME-REVEAL KUWA ASILIMIA 80 YA WATOTO WANAANGALIA AU WAMEKWISHA ANGALIA PONO, THEN MAMA AKATAKA AENDELEE NA RESEARCH YAKE FOR PhD, guess what, serikali ya canada imemzuia asiendelee, simply wamemweleza the more you ask them the more they will go to find out the real world!

I am proud of what I belive man, wakati wewe unauliza ndugu yako akija na tatizo hili utamfanya nini. MIMI SWALI LANGU NI KUWA KITU GANI KIMEMPELEKEA AWE NA TABIA HIZI ZISIZO ZA ASILI??

NARUDIA TENA UNAWAZA TATIZO BILA KUNGALIA MZIZI WAKE, KAMA UKIWEZA KUNIJIBU MZIZI WA TABIA ZA USHOGA NA USAGAJI NI NINI , I THINK FROM THERE WE CAN FIND SOLUTION, siwezi nikakaa tu from no where na kuwaza eti ndugu yangu akija na tatizo hili nitamfanya nini? what makes her to be lesbian, huyu alijaribu , huyu alionja akaona vinanoga akalowea huko, na katika thread hii tunapinga uandishi wa aina ya magazeti ya shigongo, kuwa una promote tatizo!

Mkuu sio kila kitu kinachofanyika katika society, sio kila tabia mbaya katika jamii to-solve kama wenzetu other things need immediate action, ZUIA HATA IKIBIDI KUPELEKA WATU JELA, HIZI TABIA HAZINA TOFAUTI NA MADAWA YA KULEVYA AMBAKO HUWEZI MTU UKAMPA UHURU WA KUISHI HIVYO!!

Current nchi nyingi zilizoendelea wanalalamika kuwa walifanya makosa kutozuia hii tabia, wakailembalemba na kuifugafug sasa hivi nalia, mkuu unarudi kulekule kunakowaliza wenzako simpy by having 'education'

Nadhani sifa moja ya elimu ni kuzuia mzizi wa tatizo na sio kuzibaziba tatizo kwa kutumia lugha nzuri na za kupamba amabazo zimeprove failure!

Mkuu nini chanzo cha ushoga na usagaji??

Is me bigot,
 
Naanza kuchoka kujibu maswali yako maana yangu huyajibu. Nijibu kwanza halafu nitakujibu. Hii si interogation bali ni mjadala. Moja ya swali langu lilikuwa : Je mtoto wako akikuambia kuwa yeye ni shoga/msagaji utamfanya nini?

Amandla.......
 
Waberoya.
Kwa nini unasema uongo kuwa nchi zilizoendelea zinajirudi. Baada ya uamuzi wa California kupinga same sex marriages ni states ngapi ambazo zimewafuata. Hata Iowa wameruhusu! Sasa huko kujirudi kuko wapi? Katika nchi za ulaya, moja ya maswali unayoulizwa unapoomba uraia ni nini mtazamo wako juu ya suala hili. Wanachotaka kujua ni kama unakubali uhuru wa watu kujiamulia kuhusu sexual orientation yao.

Mimi huo mfano wako kuhusu hiyo research siuamini kwa sababu hauwezekani. Academic freedom ni sacrosant katika nchi hizi. Hauwezi kuzuiwa kufanya research ati kwa sababu itawaaffect watu wakiisoma. Huyu alikataliwa kwa sababu nyingine na si hii unayoisema.

Nilikutolea mfano wa Cain kwa vile wewe ndiye uliyeingiza Genesis katika mjadala. Kwa kutumia Genesis kutetea mada yako basi umefungua mlango wa kuangalia kama kweli tunaweza kutumia hiyo hiyo Genesis kutuongoza katika kila nyanja ya maisha yetu. Kama Genesis inaweza kutuongoza kwenye suala la Homosexuality kwa nini basi isituongoze kwenye suala la incense?

Amandla........
 
Mzee acha kukwepa wajibu, hujanieleza chanzo cha ushoga na usagaji ni nini?

Nimekueleza mtoto wangu hataniuliza swali hilo, kwani asili yake hajaumbwa awe msagaji au shoga!!!!!!!!!!!! kama ana-uke basi u-ume utamtafuta, kama una u-ume basi atautafuta-uke! kinyume na hapo ni pale utakapo sema kuwa asili imebadlika siku hizi dume kwa dume wanaweza kulalana na result yake ni Y au jike na jike wanalalana na result yake ni X!!!!

somebody help me is nature have changed, may be I am not aware of.
 
That is the point I was looking, kwa hiyo wewe si kwa sababu umelelewa vipi ila ni kwa sababu wengine wanafanya vipi.

Hivi mtoto wako akiamua awe shoga, then kesho atasema anaanza kuingilia wanyama, kesho akasema amepata habari incest sex is OK na anataka kulala na mke wako wewe au mama yake yeye kwako is OK?????

Duh!
 
Mzee acha kukwepa wajibu, hujanieleza chanzo cha ushoga na usagaji ni nini?

Nimekueleza mtoto wangu hataniuliza swali hilo, kwani asili yake hajaumbwa awe msagaji au shoga!!!!!!!!!!!! kama ana-uke basi u-ume utamtafuta, kama una u-ume basi atautafuta-uke! kinyume na hapo ni pale utakapo sema kuwa asili imebadlika siku hizi dume kwa dume wanaweza kulalana na result yake ni Y au jike na jike wanalalana na result yake ni X!!!!

somebody help me is nature have changed, may be I am not aware of.

Bado unakwepa swali. Mtoto wa Dick Cheney ni msagaji. Unataka kutuambia kuwa Dick Cheney alimfundisha kuwa msagaji? Hakuna mtu anaejua mtoto wake atakuwa nini katika maisha yake. Mtoto wa Alan Keyes ni msagaji. Unataka kutuambia huyo arch-conservative nae alimfundisha mtoto wake mambo ya usagaji?

Mtoto wa Sarah Palin amezaa nje ya ndoa pamoja na mama yake kuwa kinara wa kupinga ngono kabla ya ndoa.

Pamoja na jitihada zako zote, anaweza kuwa msagaji, shoga, jambazi, mvuta bangi n.k. Kusema kuwa ati kwa sababu ni mtoto wako basi hawezi kufanya yote haya ni kujidanganya.

Jibu swali; Je, pamoja na jitihada zako zote, mtoto wako akija kuwa shoga au msagaji utamfanya nini?

Wacha we! naona kaka mifano yako ya Ulaya ulaya! swalil lako nilishakujibu soma hapa chini

Mzee acha kukwepa wajibu, hujanieleza chanzo cha ushoga na usagaji ni nini?

Nimekueleza mtoto wangu hataniuliza swali hilo, kwani asili yake hajaumbwa awe msagaji au shoga!!!!!!!!!!!! kama ana-uke basi u-ume utamtafuta, kama una u-ume basi atautafuta-uke! kinyume na hapo ni pale utakapo sema kuwa asili imebadlika siku hizi dume kwa dume wanaweza kulalana na result yake ni Y au jike na jike wanalalana na result yake ni X!!!!

somebody help me is nature have changed, may be I am not aware of.

nadhani hujajibu bado maswali yangu hapo juu, hata ku-quote unaogopa

ebu nirudie tena mara hii

Hivi mtoto wako akiamua awe shoga, then kesho atasema anaanza kuingilia wanyama, kesho akasema amepata habari incest sex is OK na anataka kulala na mke wako wewe au mama yake yeye kwako is OK?????

Hao Dick, Paulini whatever kama wanalea watoto wao kama wewe kuwa wawe huru then kwa nini unaona wanamatatizo? kama hoja ni kuwa hii ni tabia mbaya hapaswi kukubalika then kwa nini usiunge mkono tunayosema?? huoni kuwa unajifunga? tabia zile HAZIJAJA KAMA AJALI, ZILIPANDIKIZWA WAKAZIPOKEA WANAISHI NAZO! nadhani na wewe unataka yakutokee hayo, BY THE WAY MBONA HUNA MIFANO YA WATANZANIA??

jibu swali hili silali nakusibiri hili mimi na wewe tumalizane

Hivi mtoto wako akiamua awe shoga, then kesho atasema anaanza kuingilia wanyama, kesho akasema amepata habari incest sex is OK na anataka kulala na mke wako wewe au mama yake yeye kwako is OK?????
 
Waberoya,

Sasa naona unapoteza muelekeo. Ni nini kinachokuambia kila homosexual anamalizia kutaka kutembea na mnyama au kulala na mzazi wake? Wapi ambapo nimekwambia kuwa ninakubaliana na hivi vitendo? Hivi wote hao wanaotembea na watoto wadogo, wanaobaka watu ovyo,n.k. wote hao ni homosexuals?

Kwa kifupi, sikubaliani na binadamu kutembea na wanyama maana sidhani kama wanyama hao watafanya hivyo kwa hiari yao. Kama umesikia mahali mtu amemtongoza mnyama, na mnyama akamkubalia, basi swali lako litakuwa na mantik.

Kama mtoto wangu ataniambia anataka kulala na mama yake nitamwambia si sahihi kwa sabau; a) huyo ni mke wangu na haikubaliki kutembea na mke wa mwenzako. b) nitamwambia vile vile kuwa incense ina athari genetically. Uwezekano wa mtoto akitokea kuwa na matatizo ni mkubwa. c) Nitamwambia vile vile kuwa yule ni mama yake na haikubaliki kutembea na mama yako.

Sasa akija na mifano kutoka katika kitabu kitakatifu inayoonyesha kuwa watu walitembea na ndugu zao, nitamwambia aangalie context. Si yote yalio katika kitabu hicho yachukuliwe literally.

Dick Cheney, Alan Keyes na Sarah Palin ni arch conservatives ambao bila shaka wanaamini kuwa vitendo wanavyofanya wanao havipendezi mbele ya Mungu wao. Hawa bila shaka waliwalea watoto wao katika misingi imara ya ukristu. Lakini pamoja na jitihada zao, watoto wao wakafanya tofauti na walivyotarajia. Kwa kifupi, unless wewe ni mwenyezi, fate ya mtoto wako iko nje ya mikono yako.

Wewe mbona umetoa mifano kutoka Canada na haukuona tatizo? Nimewataja hawa kwa sababu ni watu maarufu. Nikikutajia watanzania ambao hayo yaliwakuta, haitasaidia kitu. Au unaamini kuwa watoto wa maaskofu, wachungaji, mashehe wote ni watakatifu? Kuwa hakuna mashoga, wasagaji kati yao?

Mkuu, sasa naona unataka kuleta ubishi na mwisho wake sidhani kama utakuwa mzuri. Ingawa nimejaribu kukujibu maswali yako, sidhani kama wewe ungependezwa kama mimi ningekuuliza utafanya nini kama mtoto wako atataka kutembea na mke wako aliye mama yake. Kwa hali hiyo, naona tukubali kutofautiana.

Amandla......
 
Mimi silaumu huyu mtu anayesaga au kusaga wenzie. What i condem is MAGAZETI YA SHIGONGO. I total believe Shigongo is a fraud, and if Tanzania governement won't regulate some of the staff come from his magazine network then wait and we will see.

It's hard for serikali to police every activities, lakini it is easy kwa serikali kukataza magazeti kureport sexual activities into details like ponographic movie. Alisikia wakilia sijui nini, what a stupid muandishi.

Muandishi could say such and such akutwa akisagana na wenzie. The explain what are the facts without to get into details.

Mkuchika anatakiwa kufungia hicho kijalida kilichoa andika huo upuuzi. Again i don't support the same sex activities, but i believe government can't not police people's life. Shigongo is a criminal.
 
Mkuu, sasa naona unataka kuleta ubishi na mwisho wake sidhani kama utakuwa mzuri. Ingawa nimejaribu kukujibu maswali yako, sidhani kama wewe ungependezwa kama mimi ningekuuliza utafanya nini kama mtoto wako atataka kutembea na mke wako aliye mama yake. Kwa hali hiyo, naona tukubali kutofautiana.

Amandla......[/SIZE][/FONT]

Kwa kweli mkuu kwa hilo nakupongeza kwani hali iliyokuwepo baada kushindwa kwa hoja ndugu yetu akaanza kuku attack tena kwa matusi makubwa sana, nakupongeza kwa uvumilivu wako na msimamo wako hasa hoja zilizo na nguvu. Hakuna haja ya kuendelea na mjadala huu kwani hakuna hoja yako iliyopata hoja shindani kama ni debate ningekutangaza mshindi...watu eeeeehehhh.
 
Waberoya,

Mkuu, sasa naona unataka kuleta ubishi na mwisho wake sidhani kama utakuwa mzuri. Ingawa nimejaribu kukujibu maswali yako, sidhani kama wewe ungependezwa kama mimi ningekuuliza utafanya nini kama mtoto wako atataka kutembea na mke wako aliye mama yake. Kwa hali hiyo, naona tukubali kutofautiana.

Amandla......

Haya mambo yanapogeuka reality katika maisha na sio kuandika tu kwenye keyboard then yanakuwa matusi. Yaani kwako wewe tabia pekee za kisex zilizo za kugombaniwa zikubalike katika jamii ni lesbian na ushoga tu.

Kuna society zimeshavuka ushoga na usagaji wako kwenye wanyama na wazazi wao au ndugu zao, na siku moja watataka wakubalike na watambulike katika jamii, kama wewe unavyosema ushoga na usagaji vikubalike. ila kwa level yako unaona ni ushoga na usagaji that is OK!

ikifika wakati wa kuzungumzia tabia zisizo za asili ambazo mwanadamu anazifanya ila wametofautiana toka jamii moja au nyingine then INCEST SEX AND BEAST(bestiality) SEX are so common term! kwa nini hukubali hizi tabia unaziona mbaya, wakati si za asili wakati ushoga na usagaji ziko kwenye makundi hayo ya corrupt sex?

Yaani wewe kumuuliza mwenzako kuwa mtoto wako akija na kusema yeye shoga utasemaje? unaona ni sawa na si tusi! ila wewe kuulizwa na mtu aliyevuka level hiyo ya ushoga na kusema anataka afanye sex na mnyama au incest then hilo ndio tusi! LOL.

Kama umekubali tabia hizi zisizo za asili zitawale jamii, kwa nini usikubali na incest sex na beast sex kuwa nazo zikubalike?? au level yako ya immoral imeishia kwenye ushoga na usagaji since you are quite familia terms and not action?????

Nenda leo sehemu kubwa tanzania mambo uliyoyaandika hapa hutaweza hata kuyasema nao kwa ni aibu?? au watu hawalali na wanyama? watu hawalali na watoto wao , ndugu hawalalani?? UNAONA? then kwako wewe haya ndiyo matusi ila kusema ushoga na usagaji is OK?? si umesema tuwe open ili tumalize matatizo-SIYO??

Nilitaka kujua level yako ya kuvumilia vitu na kuviweka katika real life, siyo kubonya tu keyboard uhalalishe tabia mbaya mbazo si za asili! let you feel it, kumbe na wewe una level yako, katika corrupt mind sex yako imeshia kwenye usagaji na ushoga, belive me others are more than that! more than that!

Kama ulivyoona beast sex na incest sex are not good, even to the point not mentioning them,THEN SEHEMU KUBWA YA WATANZANIA BADO WAKO GIZANI NA HATUPENDI WAJUE KUHUSU usagaji na ushoga! kama ili somo limekuingia na ofcourse sina makundi nakupa mfano hai ambao siku zijazo ukae ukijua.....

kuwa ushoga, usagaji, incest sex, beast sex kama ukisoma hata kwenye bible ni KUFURU MBELE YA MUNGU na vyote vimeorodheshwa

Incest
God gave laws forbidding incest, so as to prevent genetic deterioration and keep mankind healthy.
"Cursed be he that lieth with his sister, the daughter of his father, or the daughter of his mother. And all the people shall say, Amen." (Deut. 27:22)
"Thou shalt not uncover the nakedness of... thy sister... son's daughter... daughter in law..." etc (Lev. 18:7-17)
"If a man lieth with his father's wife... [and other family members] both shall surely be put to death." (Lev. 20:11- 21) They shall be cursed. (Deut. 22:30; 27:20, 22, 23; Lev. 20:19-21)

Homosexuality
Homosexuality is hostile against the family. Paul calls it the culminating apostasy and hostility towards God.
"Thou shalt not lie with mankind, as with womankind: it is abomination." (Lev. 18:22)
"If a man lie with mankind, as he lieth with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them." (Lev. 20:12)
"There shall be no ***** of the daughters of Israel, nor a sodomite of the sons of Israel." (Deut. 23:17)
"Thou shalt not bring the hire of a *****, or the price of a dog [homosexual prostitute] into the house of the LORD thy God for any vow." (Deut. 23:18)
"Beware of dogs [homosexual prostitutes], beware of evil workers..." (Phil. 3:2)
"For without are dogs [homosexual prostitutes], and sorcerers, and whoremongers, and idolaters, and whosoever loveth and maketh a lie." (Rev. 22:15)
"God gave them up unto vile affections: for even their women did change the natural use into that which is against nature And likewise also the men, leaving the natural use of the woman, burned in their lust one toward another; men with men working that which is unseemly, and receiving in themselves that recompence of their error which was meet." (Rom. 1:18-32)

Bestiality
Bestiality degrades the image of God in man. Man is not an animal, but the crown of creation.
"Whosoever lieth with a beast shall surely be put to death." (Ex. 22:19)
"Neither shalt thou lie with any beast to defile thyself therewith: neither shall any woman stand before a beast to lie down thereto: it is confusion. Defile not ye yourselves in any of these things: for in all these the nations are defiled which I cast out before you..." (Lev. 18:23-30)
"Cursed be he that lieth with any manner of beast. And all the people shall say, Amen." (Deut. 27:21)

ZOTE HIZI NI TABIA MBAYA, ADHABU ZAKE NI KIFO at that time,
NASHANGAA MKUU, PALE UNAPOONA usagaji na ushoga is OK, then beast na incest sex is not OK!!!!!!!!!!!

Huoni kuwa unadhihirisha wewe ni mtanzania halisi?? huoni kuwa unajithibitisha hata kuongelea ushoga na usagaji was not real you! unaposhtuka na kuona hivi vitu ni matusi na havikubaliki ndivyo hivyo hivyo mwingine anavyoona hata wewe kuzungumzia ushoga havikubaliki! au kwa sababu unatangazwa sana, basi umekupofusha na kuona hamna bestiality and incest sex.... kama mtu anaingiza uume wake sehemu ambayo haja kubwa inatokea unasema ok, the same man akiingiza uume kwenye mnyama is wrong! huoni vitu hivi vyote vinatisha?? japo hujanieleza chanzo na source ya ushoga na usagaji!

Solution is simple lets go back to basics... moral sex.

Naona umetangazwa mshindi mimi sihitaji kutangangwa mshindi nataka kukupata wewe nataka kukupata mtanzania mwenye tabia nzuri kama wewe anayetaka kutekwa na ukisasa! haingii akilini hata shetani atakushangaa mtu wangu unaposema ushoga is ok, lakini hivi vingine is not OK!!!!!!!!!

RAFIKI wake up, watu wanafanya zaidi ya unayoyasikia na yote yakiwekwa kwenye magazeti hatutaweza kuyabeba

Mwisho natamani mtu unapoandika kitu hapa, ukifeel then, na uwe tayari kukitetea even to death. kama huwezi kuongea mbele ya wazazi wako, watoto au familia yako mnayoyaandika na kusupport humu, then is not you!!!!!!!!

nirudie lile swali?? no..no...no, nitakuwa nakutukana, somo limeingia mpaka kwenye mifupa hata kama hutataka kukubali. jibu ulilotakiwa kusema ni kuwa hakuna jinsi ya mtoto aliyelelewa na wewe kuja na kusema baba, nataka sex na mnyama au na dada angu au mama angu, sio rahisi!!!!!!!!(kwako wewe the way nilivyokusoma) japo katika sayari hii watu wanafanya hayo mambo

Then the same answer could apply to me kuwa there is no way mtoto wangu akaja na kusema baba mimi msagaji au shoga!!!!!! sio rahisi!!!!!

Then kama jibu lako na langu yote yako sahihi then tunaweza tukaungana na kupiga vita tabia hizi mbaya katika jamii, ili watoto wetu wasiwe corrupt for anyhow! kuwa na washabiki au supporters katika immoral behaviour hazibadilishi ukweli kuwa ni mbaya na hazikubaliki!

Mtu kuja na kusema yeye ni msagjai lazima tujue tabia hii imetokea wapi?? hatupendi kujiuliza hili tunasema hawa watu wapo! tabia zinapokelewa, kufanyiwa kazi na kukua, there is no way we can tolerate this not by any justifacation no matter how good it may looki like!

Ukienda kwenye bestiality and incest sex societies nao wana sababu za kushangaza.LOL!

Mkuu hutaniona tena nachangia maada hii, kama utataka kuendelea na imni yako then go on, lakini kumbuka lile swali langu, sio baya ni hali halisi! wala sio tusi! wako watu wanaishi hivyo na believe me one day wataanza kuandikwa na kukubalika!

Love you man!
 
Waberoya. Nimekujibu PM yako na nimetuma nakala ya majibu yangu kwa Mods. Niliishakuambia kuwa tukubali kutofautiana. Mimi simo humu kulumbana na watu. Common etiquette inasema mtu akisema hivyo ni vizuri kuheshimu alichokisema. Ungeendeleza mada yako hapa kwenye thread wala isingenisumbua. Kunifuata kwenye PM ni kuniingilia private space yangu. Hiyo sitairuhusu. Jibu langu kwako hili hapa:

Naona sasa unanitafuta, Mkuu. Mimi nilikuambia kuwa tukubali kutofautiana lakini nadhani haikutosha. Kuhusiana na haya malumbano unayotaka kuyaendeleza ni hivi. Hakuna taifa duniani lililohalalisha bestiality au incense. Hakuna taifa duniani ambako binadamu wanaruhusiwa kufunga ndoa na myama au mzazi wake. Hii imetokana na sababu zilizowazi. Vitendo hivyo havikubaliki. Nimekufahamisha kuwa hakuna mtu anayeweza kusema kuwa mnyama anaefanya nae mapenzi amekubaliana nae. Hamna. Incense inakatazwa vile vile si tu kutokana na moral grounds lakini hata scientifically. Imethibitishwa kuwa in-breeding hata kwa wanyama inaleta matatizo baadae. Tofauti na uhusiano wa aina hii, sehemu nyingi tu duniani zinatambua na kuruhusu uhusiano baina ya watu wa jinsi moja. Uhusiano huo unaongozwa kwa maadili yaleyale yanayotawala uhusiano baina ya watu wa jinsia tofauti. Maadili haya ni kwamba wanaoshiriki wawe watu wazima na wenye uwezo wa kujifanyia mamuzi. Vile vile pasiwe na kulazimishana baina yao. Hauwezi kwa hiyo kulinganisha homosexuality na bestiality au incense. Mimi kukuuliza utafanya nini kama mtoto wako atakuambia kuwa yeye ni shoga ilikuwa ndani ya mada. Sijasema kuwa wewe unakubaliana na kitendo hicho bali je ikitokea mwanao akaenda nje ya maadili yako utafanyaje. Ni kama vile ukiulizwa utafanya nini mtoto wako akikutaarifu kuwa ni mja mzito kabla hajafunga ndoa. Yote haya yanatokea. Hao mashoga unaowaona nao wana wazazi wao. Si wazazi wote wanakubaliana na mwenendo wa watoto wao. Sasa wewe kuniuliza kuwa je mwanangu akija kuniomba ruhusa atembee na mnyama au mama yake ni tofauti. Kwanza una-insinuate kuwa mimi naunga mkono bestiality na incense ndiyo maana mtoto anakuja kuniomba ruhusa. Pili kuwa mimi nataka kuhalalisha hivyo vitendo. Kwa hili umenitukana. Uliniuliza kwanza nitafanya nini mtoto wangu akiniletea mume, nikakujibu. Sikukuambia umenitukana maana swali lako lilikuwa halali. Lilikuwa ndani ya mada tunayojadili.

Katika jamvi hili tunajadili mada kwa kuheshimiana. Mimi nimeona kuwa wewe unataka kuanza kushindana matusi na kulazimishana mtazamo. Nilikuambia tukubali tutofautiane. Wewe unanifuata mpaka huku kwenye PM. Kwa kufanya hivyo umeonyesha si muungwana na kuwa unachotaka ni shari. Mimi sina haja ya hilo.

Narudia tena. Tukubali kutofautiana. Usinilazimishe kuwa na mtazamo wako ambao mimi naona ni myopic na umejaa bigotry. kama wewe unaweza kusema mtoto wako hawezi kukuuliza maswali basi sio mimi. Mtoto wangu anaweza kuniuliza swali kuhusu jambo lolote lile. Lakini sidhani kama ataweza kuja kuniomba ruhusa yangu aende kumuingilia myama au mama yake! Au hata kuwa shoga for that matter.

Majibu yangu natuma nakala kwa Mods kwa taarifa. Na ninaomba usinitumie tena ujumbe wowote kutokana na mada hii. Kwa upande wangu mjadala umefungwa. Jifunze kwa Mzee Mwanakiji kuwa watu mnaweza kutofautiana na mkabaki mnaheshimiana.

Amandla......
 
FM na waberoya

Cool down!

Mara nyingi nimekuwa msomaji tu kwenye threads huwa naogopa kuchangia lakini hii maada imenivutia.

Waberoya khama na kaenda mbali sana kutoka kuangalia ushoga, usagaji kwenda mpaka kwenye kuingilia wanyama na ndugu!

Ni rahisi kutetea kitu genuine na kutoa mifano genuine ambayo ipo, lakini mara nyingi ni ngumu kutetea kitu artificial, kazi saaaana kama nilivyoona hapa.

Nimejifunza kumbe hizi ishu haziishii kwenye usagaji tu mbali zaidi kama waberoya alivyokuwa akijaribu kuainisha. nimeona ishu za kuwa muwazi kama Fundi mchundo anavyotaka iwe. Then nimeona waberoya amekuwa muwazi zaidi tena kuliko FM anayetaka iwe hivyo.

Mimi simo katika malumbano haya, ila naeleza ninachokisoma, nimejifunza upangaji point wa FM ni mzuri na hana sana kuchanganya lugha kama waberoya. Lakini nimeona point za waberoya amekuwa yeye zaidi kuliko FM ambaye amekuwa akikopi zaidi.

Ukisimamia kitu unachoamini hutakosa point, lakini inapokuja kuangalia kama unachaoamini ni sahihi, matokeo yake tunaona mtu anaona kama anatukanwa! Sijaona tusi kwangu nimeona uwazi zaidi.

Kumuuliza mtu swala linalolenga maisha ya kifamilia ni gumu. swali la FM liko sawa na swali la waberoya katika mzizi wa majadiliano unaolingana lakini katika nyanja tofauti. Sijaona sana style hii ya waberoya kwa wtu wengine, lakini inafanya mtu hata kama akiwa peke yake then akumbuke hoja na kweli hata mimi imenikaa. Sikuona waberoya akilalamika kuwa kwa nini ameulizwa swali hilo na FM,

FM nimeona akiyatenga mambo katika madaraja, kuwa kuongelea mtoto hakuumi ila kuongelea mke, then nimeoma akigeuza swali kutoka mtoto kuja na kusema shoga na sasa anasema eti mtoto akikuuliza.

Fundi mchindo waberoya kaandika nini tena kwenye PM kakutukana? unaweza kumwaga au kukopi alichaondika huko?? kwani ulishindwa kumueleza asikuandikie tena mpaka kumweleza MODS? vipi tena maji ya shingo? yaani kakitu kadogo kaka haka mzee unashatki ili uonewe huruma, hujatukanwa hapa umeelezwa ukweli na , mimi sikujui lakini sijawahi kukutana ana kwa ana na mtu anayetetea ushoga, sijui unaonekanaje!!!

ukweli jamaa amekuweka kwenye kona ambayo kutoka kwake ni hasira, kuwa mpole kaka

JF ina watu wauaji kumbe,

mi simo na hutaniona humu.

Kwangu mimi mashoga na wasagaji ni kuchapa bakora tu. kutetea haya mambo na wewe na wewe unakuwa shoga tu!
 
una hasira baba yake!

Currently Active Users Viewing This Thread: 17 (8 members and 9 guests)
Englisher, Alinda, Eric Ongara, Fundi Mchundo, mTz, Nziku, Perera
 
Back
Top Bottom