Tetesi: Habari za kusikitisha; Continental kufa rasmi mitambo yake kuzimika tarehe 1 march

Tetesi: Habari za kusikitisha; Continental kufa rasmi mitambo yake kuzimika tarehe 1 march

Ila matangazo ya kushawishi kununua bado yapo
 
Wateja wa continental poleni
Inasemekana continental imekufa na kushindwa kujiendesha kwa sababu ya kukosa wateja,fedha, na kudaiwa kodi na TRA

Mfano, inasemekana kwamba wamekosa mpaka pesa ya kununua Card za ving'amuzi vyao. Ushawahi kusikia kampuni ikikosa mpaka Card za ving'amuzi?

Kwa hiyo tarehe 1 march wanazima mitambo yao ya ardhini ya minara na pia matangazo ya sattelite yanatarajiwa kuzimwa ifikapo April 5

Poleni wateja wa Continental kwa majanga hayo
Leo hii ni trh 7 April 2018 (Karume day) Continental bado "haijazimwa" hz hbr zingine watu cjui huwa wanazitoa wapi.
 
Back
Top Bottom