Habari za Mauza uza ya porini niulize mimi

Ukigonga papuchi Ni hatari Sana Kama ukienda kuwinda, ukijijua Bora usienda mana mnaweza kupata na mabalaaa!
 
Wewe na babu yako jisalimisheni kituo chochote cha polisi kwa kosa la kuua nyara za serikali.
 
Mkuu mbona hukuendelea na story yako tena au ndio Dem jini alikupiga biti usiendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…