Habari za wanachit chat naona seacom wamefanya kazi

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Habarini za jioni toka mkonga wa baharini ukatike nineona post humu ndani zimepungua inamaana wanotumia voda ni wachache maana yenyewe tu ndo haijaathiliwa.....

NB mm huwa ni mfatiliaji tu nioneeni huruma msinitukane
 
Utukanwe kwa kosa gani Dreson3 !?? BTW mie pamoja.na kuwa natumia tiGO tangu jana niko hewani vizuri tu
 
Last edited by a moderator:
Utukanwe kwa kosa gani Dreson3 !?? BTW mie pamoja na kuwa natumia tiGO tangu jana niko hewani vizuri tu

Baba V watu huku huwa wako so senstive nahc naogopa sababu sijajua sheria za huku.
 
Last edited by a moderator:
Bwa! ha! ha! Miafrika yenye "akili" ilikosa internet kisa limkonga lililopo sijui Misri huko liliharibika.

Hivi hamuwezi kuvumbua njia au lidubwana jingine la kutoleoa huduma za mtandao au ndo mnasubiri hadi Wamarekani wawavumbulie?
 
Miafrika ndo mlivyo
 
Miafrika ndo mlivyo

Pole kwa kula vumbi ndugu. Au huko Pasiansi hakuna?

Nimetoka kucheki ITV kama lisaa limoja hivi lililopita nimeona watu wanaogelea kwenye midimbwi ya mimaji michafu iliyosababishwa na mvua huko Dar.

Poleni wahanga wote lol. Hivi hamuwezi kujenga barabara nzuri za lami na simenti na zenye drainage system inayofanya kazi kwa ufanisi madhubuti?

Au ndo hamna uwezo na jinsi zaidi ya kusubiri Wamarekani waje wawajengee au wawafundishe namna ya kujenga? Lol
 
Tushazoea vumbi na barabara zetu plus jua kali. Nyie endeleeni kubeba box huko ughaibuni tu.. Kama life la huko ni zuri sasa kwa nini mkirudi huku mnakuwa choka mbaya? Yani mnarud kuongeza wategemezi kwenye familia.
 
Kila mtu katoka kwenye familia tofauti. Mimi usiniweke kwenye hao wenye kurudi na kuwa tegemezi.
 
Nyani Ngabu karibu Tanzania the land of mgao wa umeme mgao wa majina network mbovu ujiona jf watu wamepungua uhue seacom kushaharibika
 
Last edited by a moderator:
Tushazoea vumbi na barabara zetu plus jua kali. Nyie endeleeni kubeba box huko ughaibuni tu.. Kama life la huko ni zuri sasa kwa nini mkirudi huku mnakuwa choka mbaya? Yani mnarud kuongeza wategemezi kwenye familia.

Unamuongelea nani?

I made it rain mpaka leo bado mnaona mafuriko . Be specific please, sio unatupakazia wengine slander hatujazoea.
 
Wapo weng ambao wanarud na kushangaa sisi wala vumbi huku tumefanikiwaje.. Wao kikubwa wanachorud nacho ni mabeg ya nguo na blah blah kibao tu. Akimaliza kupga porojo anapga mzinga hapo hapo.. Mi nafight hapa hapa vumbini.
 
hyo si ya wote.. Wapo ambao wakirejea huku huwa mizigo. Daily ni mizinga kwa kwenda mbele.

That word there has never existed in my vocab. Not because I come from money. No no. It's because I'm a go-getter.

Nyinyi mnakaa huko na kujifariji 'oh hawana lolote hao...wanabeba maboksi na kuchamba vizee'..

But guess what...people still get paid from that. And if you are smart enough to live within your means, you'll make it.

Watu wamejenga magorofa Mbezi Beach kwa hizo hizo kazi za kutawaza vizee.
 
Wapo weng ambao wanarud na kushangaa sisi wala vumbi huku tumefanikiwaje.. Wao kikubwa wanachorud nacho ni mabeg ya nguo na blah blah kibao tu. Akimaliza kupga porojo anapga mzinga hapo hapo.. Mi nafight hapa hapa vumbini.

Hmm wewe. Hao wala vumbi waliofanikiwa ni kina nani na wako wapi? Maana wengi tunawaona na hamna lolote la kutisha. Sana sana mmepanga tu vyumba tu huko uraiani na waliobahatika kuwa na vigari ndo hivyo vi Vitz, Starlet, Rav4 second hand kutoka Japan.
 
Pole kwa kula vumbi ndugu. Au huko Pasiansi hakuna?

Nimetoka kucheki ITV kama lisaa limoja hivi lililopita nimeona watu wanaogelea kwenye midimbwi ya mimaji michafu iliyosababishwa na mvua huko Dar.

Poleni wahanga wote lol. Hivi hamuwezi kujenga barabara nzuri za lami na simenti na zenye drainage system inayofanya kazi kwa ufanisi madhubuti?

Au ndo hamna uwezo na jinsi zaidi ya kusubiri Wamarekani waje wawajengee au wawafundishe namna ya kujenga? Lol

Asante tushapoa
 
That word there has never existed in my vocab. Not because I come from money. No no. It's because I'm a go-getter.

Nyinyi mnakaa huko na kujifariji 'oh hawana lolote hao...wanabeba maboksi na kuchamba vizee'..

But guess what...people still get paid from that. And if you are smart enough to live within your means, you'll make it.

Watu wamejenga magorofa Mbezi Beach kwa hizo hizo kazi za kutawaza vizee.

Hongera zako. Ila inakuaje wengine wanarudi huku wakiwa majalala?
 
Back
Top Bottom