Habari za wanachit chat naona seacom wamefanya kazi


Kwa hyo unataka kuniambia kuwa hawa wote wenye mafanikio zaidi ya hayo ya vitz huku Tz nao walikuwepo huko Ughaibuni? Kila mmoja anapata kutokana na malengo yake...
 
Hongera zako. Ila inakuaje wengine wanarudi huku wakiwa majalala?

Waulize wao, usi generalize kwa kila mtu.

Halafu kwa nini unafikiri kila mtu anataka kurudi fresh?

Wengine ndoto zao kujibabua Miami Beach na Copacabana halafu warudi maskani kisela, utawapangiaje maisha?
 
Naona unazungumzia deportees wewe.

Siongelei deportees tu. Wapo wengine wameish kisheria huko na wamerud wenyewe empty handed... Kwa wale ambao walizamia huko 80's na 90's ndo kidogo walifanikiwa.
 
Waulize wao, usi generalize kwa kila mtu.

Halafu kwa nini unafikiri kila mtu anataka kurudi fresh?

Wengine ndoto zao kujibabua Miami Beach na Copacabana halafu warudi maskani kisela, utawapangiaje maisha?

Sijawapangia maisha. Ila nltaka kumwonyesha Ngabu kuwa si kwamba wote waliopo Ughaibuni huwa wanakuwa na hali njema.. Wanakuwa weng wa majigambo na story ya mamtoni lakini mfukoni ni weupe..
 
Siongelei deportees tu. Wapo wengine wameish kisheria huko na wamerud wenyewe empty handed... Kwa wale ambao walizamia huko 80's na 90's ndo kidogo walifanikiwa.

Well...basi waulize wao. Manake kila mtu ana mipango yake ya kimaisha. Kama mtu unaponda raha with reckless abandon na hivyo ndivyo ulivyoamua maisha yako yawe...who is anybody to jugde?
 
Sijawapangia maisha. Ila nltaka kumwonyesha Ngabu kuwa si kwamba wote waliopo Ughaibuni huwa wanakuwa na hali njema.. Wanakuwa weng wa majigambo na story ya mamtoni lakini mfukoni ni weupe..

So what then?

Ukishauliza kwa nini wengine wanarudi majalala ushaonyesha hivyo ni undesirable na ungetaka wasirudi majalala. Majalala au la, kivyao, wewe inakuhusu nini?

Do you.

What's next? Utataka kufunua majaa ujue nani kala dagaa na nani kala steki?
 
Sijawapangia maisha. Ila nltaka kumwonyesha Ngabu kuwa si kwamba wote waliopo Ughaibuni huwa wanakuwa na hali njema.. Wanakuwa weng wa majigambo na story ya mamtoni lakini mfukoni ni weupe..

On balance huwezi kabisa kulinganisha kiwango cha maisha cha ughaibuni (Ulaya na Marekani) na Tanzania. Huwezi hata ulazimishe vipi!
 
Bwa! ha! ha! Miafrika yenye "akili" ilikosa internet kisa limkonga lililopo sijui Misri huko liliharibika.

Hivi hamuwezi kuvumbua njia au lidubwana jingine la kutoleoa huduma za mtandao au ndo mnasubiri hadi Wamarekani wawavumbulie?

10% ndio zinatuponza na sio mmarekani..
 

una utani na YO YO
 
Habarini za jioni toka mkonga wa baharini ukatike nineona post humu ndani zimepungua inamaana wanotumia voda ni wachache maana yenyewe tu ndo haijaathiliwa.....

NB mm huwa ni mfatiliaji tu nioneeni huruma msinitukane
Yani we acha tu, afadhali wame-resume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…