Habari za za Simba kupewa nafasi badala ya Mbeya City

Habari za za Simba kupewa nafasi badala ya Mbeya City

Tff ya jamal malinzi ni genge la wahuni...alafu timu zikifanya kosa mifaini ya nguvu
 
Jamal malinzi ..aibu ya tff naiona mm...duuuu hatutaendelea kamwe,
Tulifanya kosa sana kumpa mhaya kutuongozea shirikisho letu la mpira, wahaya wao wanajua kuiba tu mambo mengine sio yao.
 
hivi na mikia nawenyewe wameridhika kabisa kubebwa na kuwadhurumu mbaya city?
 
Kwanini simba wasikate rufaa..hivi wenyewe hawaoni aibu kubebwa
 
Mi naona ligi ya tanzania imedharirishwa hapa...
 
Kwan utapata ubingwa Mara nyingi bila kuanza na Mara ya kwanza, wawaache mbeya city washiriki.
 
Kwa mujibu wa Rais wa TFF hata hiyo Kagame cup sio rasmi kuwa itakuwepo.
Hilo suala la Simb walisema wanatafakari tu na sio official.
Mheshimiwa alikuwa akijibu text yangu hii hapa chini.
"Mkuu pole kwa majukum. Ni bora mfanye muwezavyo ilimradi Mbeya city nayo iwepo Kagame
hata ikibidi tuingize timu nne. kulazimisha kila michuano zishiriki Simba na Yanga itakuwa ni
kuendekeza Usimba na Uyanga ambao kila siku tunalia kuwa ndio unarudisha maendeleo nyuma.
Kuhusu idadi ya mashabiki kuwa watakuwa wachache ni dhahiri kuwa kigezo hicho kinathibitisha
kuwa michuano hiyo haina kusudio la kuendeleza michezo E.Africa. Lakini pia kundi ambalo City wangewekwa lingeweza kuchezewa mechi zake Mbeya
 
Kwa akili hizi za TFF , Brazil ingekuwa inaingia kwenye fainali za michuano ya World Cup moja kwa moja bila kushiriki michuano ya mwanzo kule kwao South America, kwasababu ni wazoefu wao walibeba makombe tangu enzi hizo za kina Pele.
 
Back
Top Bottom