Soka la east Africa ni pasua kichwa Yaani kila kitu siasa na usishangae hao simba na yanga wakakutana finally
Malizia namna hii "kisha yanga anapasuliwa kama kawa"
Tulifanya kosa sana kumpa mhaya kutuongozea shirikisho letu la mpira, wahaya wao wanajua kuiba tu mambo mengine sio yao.Jamal malinzi ..aibu ya tff naiona mm...duuuu hatutaendelea kamwe,
Mm nashauri wazishindanieshe hizi timu Kati ya Mbeya city Vs Simba mshindi aende kucheza Kagame cup
Watashindwaje kuridhika wakati hawa ni wazee wa mbeleko mbeleko?!hivi na mikia nawenyewe wameridhika kabisa kubebwa na kuwadhurumu mbaya city?
​sasa Mbeya City watapata uzoefu lini???hii nchi hii????