Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
No wonder JF imekuwa ya baridi sanaHivi ushauri huo haulipiwi "consultancy fe" kweli? Sintashangaa. Kuna wakati walisema wangeleta watalaamu wa IT kutoka huko - lengo kubwa ilikuwa kudadavua watu wanamsema mkulu na serikali kupitia mitandao. Walipogonga mwamba wakashauri zitungwe sheria kufunga watu midomo.
Hivi mnajua ni fedha kiasi gani zinatumika kama consultancy fees kujaribu kuingilia na kupata habari za ndani na mitandao kama JF? Hata wataalamu toka nje wameletwa!
Comments nyingi sana zinafutwa hasa zikigusa watu fulani
Kuna tusiyoyajua