Habari zenu natafuta kazi elimu kidato Cha nne mwenye connection za mashirika mbalimbali, bandarini au kampuni za usafirishaji

Habari zenu natafuta kazi elimu kidato Cha nne mwenye connection za mashirika mbalimbali, bandarini au kampuni za usafirishaji

Uwezo wa kulima kwa kutumia jembe la mkono huna?
Hilo dude (jembe) limewakimbiza vijana wengi kutoka vijijini kwenda mijini. Hata walioko huko vijijini hawataki urafiki nalo, wanaliogopa kama jini. Wanaishi maisha ya kubahatisha riziki kunakucha na kunakuchwa. Serikali ifanye kampeni maalum ya kimkakati ya kulifanya jembe liwe rafiki kwa vijana.
 
Ni upumbavu mkubwa zama hizi kufanya kazi za nguvu Kwa kulima na jembe la mkono.
 
Natafuta kazi kwenye makampuni, bandarini au Taasisi yoyote nipo Dar es salaam elimu yangu kidato Cha nne 0742548727
Wewe tafuta kazi, usiombe kazi, maana huna elimu.
Elimu ya kuombea kazi ni kusomea fani mfano, fundi kupaua, umeme, kupika, kutengeneza magari, mikate, uhasibu, udaktari nk nk. Hizo ndio elimu za kuombea kazi.
Pita kijiwe hadi kijiwe tafuta kazi za kufanya, usiombe.
 
Ni upumbavu mkubwa zama hizi kufanya kazi za nguvu Kwa kulima na jembe la mkono.
Wenye uwezo wa kununua matrekta, mapawatila, mapunda na ng'ombe wa kukokota majembe ni matajiri, ambapo kwa bahati mbaya hawapendi kazi ya kilimo hasa kwa hapa Tanzania. Kwa hiyo kwa sehemu kubwa kilimo kinaachiwa masikini ambao uwezo wao ni hilo jembe la mkono.
 
Sawa subiri bahati ,ila mm nimekutahadharisha,mm Nina Grupu la nafasi za kazi Huwa napost, naongea haya nauzoefu, ninawaombea watu Kaz mbalimbali , siongei kwa kubahatisha ,nalijua soko la ajira vzr na vituko vyake ,Kuna watu Wana CPA hawapati hata nafasi za u Receptionist hayo mashirika unayotaka wewe uunganishwe

Hata kazi za usafi tu Zina vipengere ,
Naweza. Ku join group lako,,,
 
Wewe tafuta kazi, usiombe kazi, maana huna elimu.
Elimu ya kuombea kazi ni kusomea fani mfano, fundi kupaua, umeme, kupika, kutengeneza magari, mikate, uhasibu, udaktari nk nk. Hizo ndio elimu za kuombea kazi.
Pita kijiwe hadi kijiwe tafuta kazi za kufanya, usiombe.
Sawa buana ila tunajaribu kutafta network mtandaoni pia najaribu kulenga mwezi ili nikikosa nipate nyota
 
Uko Race Sana Bwana Mdogo...!!!Punguza Munkali,,,Tulia,,Jipange Tena Uje Kivingine Katika Ubora Ambao Unamantiki Na Wakueleweka Zaidi,,Njoo Na Udadavuzi Wa Ndani Zaidi Uhusuyo Kariba Yako Ya Ndani Kabisa.
 
🤣🤣kizazi cha AI hiki ana elimu ya form 4 lakini anachagua kazi,Kuna mmoja alinifata Leo hivi ,anasema ana form 4 anahitaji kazi akataka ,nikamwambia Kuna kazi ya ulinzi ,akasema hakuna nyingine, yaani form 4 anachagua Kazi ,ndio Hawa

Wanataka kazi za sheli, supermarket,utingo, bandarini wakati hawana taaluma yoyote
Naomb link nijoin kweny group lako
 
Back
Top Bottom