Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Mpatie kaz kijana tajiriAll the Best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpatie kaz kijana tajiriAll the Best
Hilo dude (jembe) limewakimbiza vijana wengi kutoka vijijini kwenda mijini. Hata walioko huko vijijini hawataki urafiki nalo, wanaliogopa kama jini. Wanaishi maisha ya kubahatisha riziki kunakucha na kunakuchwa. Serikali ifanye kampeni maalum ya kimkakati ya kulifanya jembe liwe rafiki kwa vijana.Uwezo wa kulima kwa kutumia jembe la mkono huna?
Ni upumbavu mkubwa zama hizi kufanya kazi za nguvu Kwa kulima na jembe la mkono.Hilo dude (jembe) limewakimbiza vijana wengi kutoka vijijini kwenda mijini. Hata walioko huko vijijini hawataki urafiki nalo, wanaliogopa kama jini. Wanaishi maisha ya kubahatisha riziki kunakucha na kunakuchwa. Serikali ifanye kampeni maalum ya kimkakati ya kulifanya jembe liwe rafiki kwa vijana.
Wana JF wa miaka hii sijui wakoje.Hakika
Wewe tafuta kazi, usiombe kazi, maana huna elimu.Natafuta kazi kwenye makampuni, bandarini au Taasisi yoyote nipo Dar es salaam elimu yangu kidato Cha nne 0742548727
Kwani kulima na jembe la mkono ni ttzo ? au mm ndo selewii mkuuNi upumbavu mkubwa zama hizi kufanya kazi za nguvu Kwa kulima na jembe la mkono.
Wenye uwezo wa kununua matrekta, mapawatila, mapunda na ng'ombe wa kukokota majembe ni matajiri, ambapo kwa bahati mbaya hawapendi kazi ya kilimo hasa kwa hapa Tanzania. Kwa hiyo kwa sehemu kubwa kilimo kinaachiwa masikini ambao uwezo wao ni hilo jembe la mkono.Ni upumbavu mkubwa zama hizi kufanya kazi za nguvu Kwa kulima na jembe la mkono.
ana bandari? ana kampuni ya usafirishaji?Mpatie kaz kijana tajiri
Naweza. Ku join group lako,,,Sawa subiri bahati ,ila mm nimekutahadharisha,mm Nina Grupu la nafasi za kazi Huwa napost, naongea haya nauzoefu, ninawaombea watu Kaz mbalimbali , siongei kwa kubahatisha ,nalijua soko la ajira vzr na vituko vyake ,Kuna watu Wana CPA hawapati hata nafasi za u Receptionist hayo mashirika unayotaka wewe uunganishwe
Hata kazi za usafi tu Zina vipengere ,
Sawa buana ila tunajaribu kutafta network mtandaoni pia najaribu kulenga mwezi ili nikikosa nipate nyotaWewe tafuta kazi, usiombe kazi, maana huna elimu.
Elimu ya kuombea kazi ni kusomea fani mfano, fundi kupaua, umeme, kupika, kutengeneza magari, mikate, uhasibu, udaktari nk nk. Hizo ndio elimu za kuombea kazi.
Pita kijiwe hadi kijiwe tafuta kazi za kufanya, usiombe.
Ngoja nikutumie namba ya simu uingize mkwanja tutajua tutafanyaje au vpNatafuta kazi kwenye makampuni, bandarini au Taasisi yoyote nipo Dar es salaam elimu yangu kidato Cha nne 0742548727
ThanksUko Race Sana Bwana Mdogo...!!!Punguza Munkali,,,Tulia,,Jipange Tena Uje Kivingine Katika Ubora Ambao Unamantiki Na Wakueleweka Zaidi,,Njoo Na Udadavuzi Wa Ndani Zaidi Uhusuyo Kariba Yako Ya Ndani Kabisa.
Thank you 👏👏👏👏All the best
Naomb link nijoin kweny group lako🤣🤣kizazi cha AI hiki ana elimu ya form 4 lakini anachagua kazi,Kuna mmoja alinifata Leo hivi ,anasema ana form 4 anahitaji kazi akataka ,nikamwambia Kuna kazi ya ulinzi ,akasema hakuna nyingine, yaani form 4 anachagua Kazi ,ndio Hawa
Wanataka kazi za sheli, supermarket,utingo, bandarini wakati hawana taaluma yoyote