Bado na iko ndani sasa jitahidi upate dawaJmn mim naomba msaada nilikua nasumbuliwa na fangasi za ukeni, nikapewa dawa nkatumia na sasa tatizo limeisha
Ila saiz natwok na maji meupe ukeni hayan muwasho wala hayana harufu mbaya ya kukela
Ila hayo maji yakikaa kweny chup kwa mda yana badirika na kua manjano[emoji1785]
Naomba kujua ni nn hii au nifangasi hazijaisha
Au n ungonjwa mingne
Unaishi wapi ?
Na kama unaishi na mume acha kwanza kumpa nonihino kwa kisingizio chochote..
Ulitumia dwa gani,hilo ni tatizo dogo sana litaisha
Nipo Dar kwa sasa
Nilipimwa na nikapewa hizo dawa
Utapona usiwaze ila Vyoo vya kushea ogopaa sanaMeans sitipona au[emoji24]
We jamaa bana! Kwan ukitoa maelekezo hapa jukwaan na wengine wakafaidika itakuaje?Njoo pm nikupe maelekezo
Mpaka vipimoDawa ipi