Jamaini
Member
- Oct 31, 2018
- 7
- 1
Jmn mim naomba msaada nilikua nasumbuliwa na fangasi za ukeni, nikapewa dawa nkatumia na sasa tatizo limeisha
Ila saiz natwok na maji meupe ukeni hayan muwasho wala hayana harufu mbaya ya kukela
Ila hayo maji yakikaa kweny chup kwa mda yana badirika na kua manjano🤢
Naomba kujua ni nn hii au nifangasi hazijaisha
Au n ungonjwa mingne