Habari zenu

Habari zenu

Jamaini

Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
7
Reaction score
1
Jmn mim naomba msaada nilikua nasumbuliwa na fangasi za ukeni, nikapewa dawa nkatumia na sasa tatizo limeisha
Ila saiz natwok na maji meupe ukeni hayan muwasho wala hayana harufu mbaya ya kukela
Ila hayo maji yakikaa kweny chup kwa mda yana badirika na kua manjano🤢
Naomba kujua ni nn hii au nifangasi hazijaisha
Au n ungonjwa mingne
 
Fungus hazijaisha ndugu... PID hiyo!! Pole sana Fungus sugu haziishi kwa urahisi
 
Jmn mim naomba msaada nilikua nasumbuliwa na fangasi za ukeni, nikapewa dawa nkatumia na sasa tatizo limeisha
Ila saiz natwok na maji meupe ukeni hayan muwasho wala hayana harufu mbaya ya kukela
Ila hayo maji yakikaa kweny chup kwa mda yana badirika na kua manjano[emoji1785]
Naomba kujua ni nn hii au nifangasi hazijaisha
Au n ungonjwa mingne
Bado na iko ndani sasa jitahidi upate dawa
 
Unaishi wapi ?
Na kama unaishi na mume acha kwanza kumpa nonihino kwa kisingizio chochote..
Ulitumia dwa gani,hilo ni tatizo dogo sana litaisha
 
Unaishi wapi ?
Na kama unaishi na mume acha kwanza kumpa nonihino kwa kisingizio chochote..
Ulitumia dwa gani,hilo ni tatizo dogo sana litaisha

Nilitumia kuna dawa flan iv sijui inaitwaji ya tube ya kutumbukiza(cream) lkn unaeka kwa ndan sio kidonge lkn
Pamoja na dawa za kumeza
 
Back
Top Bottom