Habari zilizonifikia muda huu zinasema kwamba.....

Mkishamaliza hekaheka zenu kama kawaida tupeni kombe letu kwa msimu wa 4 mfululizo,"safari ya simba ni kama ya chizi........"
FIFA rufaa pia iwe kipaumbele kama msimu uliopita.
 
HABARI HIZI ZIMEZAGAA SANA SIJAJUA UKWELI AU UHALISIA WAKE
 
Ndani ya Saa chache au siku mbili au tatu tu zijazo Mchezaji mahiri wa Kiungo wa Yanga FC Haruna Niyonzima anategemea Kusaini kandarasi ya kuichezea Klabu ya Simba SC kwa miaka miwili ( 2 ) kwa ada ambayo itavunja rekodi nchi nzima.

Nawasilisha.
Tuliwahi kuwauzia na mwingine anaitwa Kiiza na sisi tukachukua Tambwe, hivi bado yuko hai?
 
hahahahah duh mkuu hao hata bure hatuwataki, ,canavaro Huyu huyu mwenye miaka 50
 
Wanafanya mashabiki wao wasahau khs FIFA, Maana mikia kusahau ni faster
 
Nakumbuka Ile breaking news yako uliyoleta barua ya FIFA iliyoletwa mpaka leo haijasomwa
Habari zake nyingi huwa ni hivyo hivyo.

Kuna wakati nilidhani kesho yake Malinzi atawekwa ndani
 
Povuuu
 
Ninyi mikia fc a. K. A FIFA tupeni point 3
Hata mngesajili Nani hamwezi kuchukua ubingwa bara

Nendeni kwenye kaburi LA James agrey siang, a mkaombe msamaha
Maana amekufa anawadai hela yake
Vumilia kaka maumivu maana naona sindano imefika
 
Ndani ya Saa chache au siku mbili au tatu tu zijazo Mchezaji mahiri wa Kiungo wa Yanga FC Haruna Niyonzima anategemea Kusaini kandarasi ya kuichezea Klabu ya Simba SC kwa miaka miwili ( 2 ) kwa ada ambayo itavunja rekodi nchi nzima.

Nawasilisha.
Huku tushasainisha ajib,huko kwenu vp khs niyonzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…