Mtu ambaye akiondoka Yanga ntalia ni KAMUSUKO NA CANAVARO TU.
Hawa wengine waache waende tu tunataka kujenga timu yenye Nidhamu Kwanza Pamoja na Pesa ila Nidhamu iwe ya Kwanza.
David Beckham,Christiano Ronaldo waliondoka Man utd ila Timu bado mpaka leo ipo.
Na hawa wachezaji mnaosajili ni kocha kapendekeza au kisa alikua Yanga kesho na keshokutwa akimpa pasi adui akafunga kauza mechi
Ushauri Kwa Yanga ni bora tupite kwenye Kipindi cha mpito kwa kuwekeza hata kwa Vijana na kubana matumizi kuliko kufanya usajili wa kufurahisha watu na mwishowe ndani ya msimu mchezaji kaachwa.
Simba Chukueni wote ila mwakani hatutaki kusikia mkianza kukimbilia FiFa tena