OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Majibu yapo hapahapa kwenye post yako. Makambo alikuwa na goli ngapi? Saido na MK14 walikuwa na goli ngapiHuyu huyu kyombo aliyetoka na gori 7 mbeya kwanza ndio kawa mshambukiaji hatari?. Dah mnamasihara na mpira sasa.
Mimi mwanayanga,ila nakuunga mkono kwenye ubora/uzuri wa Kyombo. Japo sio kweli kwamba ni mshambuliaji pekee mzawa hatari. Tuna George Mpole, Lusajo, Kichuya, Rajabu Juma, na wengineo.Tuache ushabiki, kuingia kwa Habib Kyombo kumeipa ahueni sana Simba. Kyombo alikuwa anakwenda angani na mabeki wa Yanga.
Bangala na Job na aliweza kushinda mipira yote ya juu, alikuwa na uwezo wa kupiga chenga, alikuwa akionyeshana sana ubavu na mabeki wa Yanga.
Habib Kyombo hastahili kukaa benchi, huyo Manzoki tunayetaka kumwaga mahela ni afadhali tuendelee na Kyombo.
Kule alikuwa analala gesti,mshahara laki saba,huku analala hotel nyota tano mshahara milioni 4,ni watu wawili tofauti jina mojaHuyu huyu kyombo aliyetoka na gori 7 mbeya kwanza ndio kawa mshambukiaji hatari?. Dah mnamasihara na mpira sasa.
Yaani achezee mechi 32 awe na Gori 7 awe mchezaji wa daraja la juu? 😅😅Ungekuwa unajua mpira hata chembe ungemuheshimu sana Kyombo. Kuweza kufunga magoli 7 ukiwa na timu iliyoshuka daraja ni dalili kuwa ni mchezaji wa daraja la juu sana.
Makambo alitoka na magoli mangapi ikiwa magoli 7 mnayaona madogo? Huyo mayele aliyekuwa team yenye wachezaji na miundombinu mazuri alimzidi magoli mangapi kwenye msimu mzima?Kwa mtizamo wa mleta bandiko, Kyombo ni mshambuliaji mahiri kwakua alipoingia alikua akiruka na kuwazidi mipira ya juu mabeki wa Yanga, alikua akiwapiga chenga mabeki wa Yanga Kwaiyo ni mshambuliaji kinara Kwa wazawa.
Kitu ambacho mleta bandiko aelewi izo zoote ni kazi Bure kama mshambuliaji hafungi.
Kazi za mshambuliaji ni kufunga Magoli, sio chenga Wala kurukajuu kuwapita mabeki.
Uwezo wa mshambuliaji ni Sanaa ya ufungaji izo purukushani nyingine hazina maana yoyote katika mpira wa miguu.
Uliusajiri huo uzi wako badstiYaani umeona uzi wangu ukaamua ucopy na kupaste kuanzisha wako siyo
Umeona uzi wangu ukacopy na kupaste mada yangu kwa kuanzisha uzi mpya. Siyo kesi ila nadhani ungechangia kule maana hakuna ushindani humu.
Hata angekuwa na magoli mawili bado atakuwa wa daraja la juu. Alikuwa anacheza na wachezaji wa aina gani? Makocha walikuwa kina nani? Msimu uliopita ilibaki kidogo Mwamnyeto awe beki bora wa Ligi kuu kwa kuwa tu alikuwa akicheza na wachezaji wazuri hivyo akaonekana bora. Kilichombeba ni kivuli cha mafanikio ya timu ila hakustahili hata kuingia kwenye mchuano.Yaani achezee mechi 32 awe na Gori 7 awe mchezaji wa daraja la juu? 😅😅
Una mvunjia heshma Mwaikimba, Kyombo aendelee kuwa mshambiaji hatari wa Simba.Kyombo ni Gaudence Mwaikimba aliye na mbio.
Huo ubora mnaousema mbona alishindwa kuuonesha akiwa mamelodi sundowns mpaka akaamua kurudi nyumbani..au kule napo kulikuwa hakuna wachezaji wazuri..?? Of course ni mchezaji mzuri Ila siyo kusema eti ndo Bora kuliko wote Kwa wazawa, wapo kina Lusajo kila msimu wanakupa gori 10+ nao ni wazawa utasemaje??Hata angekuwa na magoli mawili bado atakuwa wa daraja la juu. Alikuwa anacheza na wachezaji wa aina gani? Makocha walikuwa kina nani? Msimu uliopita ilibaki kidogo Mwamnyeto awe beki bora wa Ligi kuu kwa kuwa tu alikuwa akicheza na wachezaji wazuri hivyo akaonekana bora. Kilichombeba ni kivuli cha mafanikio ya timu ila hakustahili hata kuingia kwenye mchuano.
Nikubaliane na wewe kwa kusema kuwa hata Chama hana ubora wowote kwa kuwa kule Berkane alishindwa kuonesha ubora mpaka akaamua kurudi Simba.Huo ubora mnaousema mbona alishindwa kuuonesha akiwa mamelodi sundowns mpaka akaamua kurudi nyumbani..au kule napo kulikuwa hakuna wachezaji wazuri..?? Of course ni mchezaji mzuri Ila siyo kusema eti ndo Bora kuliko wote Kwa wazawa, wapo kina Lusajo kila msimu wanakupa gori 10+ nao ni wazawa utasemaje??
Mpira wa kule umepiga hatua, awahitaji mchezaji mwenye spidi ya konokono.Chama ni mchezaji wa apapa.Nikubaliane na wewe kwa kusema kuwa hata Chama hana ubora wowote kwa kuwa kule Berkane alishindwa kuonesha ubora mpaka akaamua kurudi Simba.
Na anajua kuji position kama lete mzunguuuuNaunga mkono hoja. Ni bonge la mshambuliaji
Goli 7 kwa mechi 15 akiwa na Mbeya kwanza,wakati Mayele alipiga magoli 16 mechi 30 akiwa yanga.Huyu huyu kyombo aliyetoka na gori 7 mbeya kwanza ndio kawa mshambukiaji hatari?. Dah mnamasihara na mpira sasa.
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe Kyombo alisajiliwa Mbeya kwanza raundi ya pili. Mechi 15 goal 7 .Mayele mechi 30 goal 16.Yaani achezee mechi 32 awe na Gori 7 awe mchezaji wa daraja la juu? [emoji28][emoji28]
Akili ndogoKwa mtizamo wa mleta bandiko, Kyombo ni mshambuliaji mahiri kwakua alipoingia alikua akiruka na kuwazidi mipira ya juu mabeki wa Yanga, alikua akiwapiga chenga mabeki wa Yanga Kwaiyo ni mshambuliaji kinara Kwa wazawa.
Kitu ambacho mleta bandiko aelewi izo zoote ni kazi Bure kama mshambuliaji hafungi.
Kazi za mshambuliaji ni kufunga Magoli, sio chenga Wala kurukajuu kuwapita mabeki.
Uwezo wa mshambuliaji ni Sanaa ya ufungaji izo purukushani nyingine hazina maana yoyote katika mpira wa miguu.
Dirisha dogo magoli 7 halafu unamdharau?Huyu huyu kyombo aliyetoka na gori 7 mbeya kwanza ndio kawa mshambukiaji hatari?. Dah mnamasihara na mpira sasa.