Habib Kyombo ndiye mshambuliaji pekee hatari mzawa hapa nchini, Mgunda asimweke sana benchi

Tuache ushabiki, kuingia kwa Habib Kyombo kumeipa ahueni sana Simba. Kyombo alikuwa anakwenda angani na mabeki wa Yanga.

Bangala na Job na aliweza kushinda mipira yote ya juu, alikuwa na uwezo wa kupiga chenga, alikuwa akionyeshana sana ubavu na mabeki wa Yanga.

Habib Kyombo hastahili kukaa benchi, huyo Manzoki tunayetaka kumwaga mahela ni afadhali tuendelee na Kyombo.
Mimi mwanayanga,ila nakuunga mkono kwenye ubora/uzuri wa Kyombo. Japo sio kweli kwamba ni mshambuliaji pekee mzawa hatari. Tuna George Mpole, Lusajo, Kichuya, Rajabu Juma, na wengineo.
 
Huyu huyu kyombo aliyetoka na gori 7 mbeya kwanza ndio kawa mshambukiaji hatari?. Dah mnamasihara na mpira sasa.
Kule alikuwa analala gesti,mshahara laki saba,huku analala hotel nyota tano mshahara milioni 4,ni watu wawili tofauti jina moja
 
Ungekuwa unajua mpira hata chembe ungemuheshimu sana Kyombo. Kuweza kufunga magoli 7 ukiwa na timu iliyoshuka daraja ni dalili kuwa ni mchezaji wa daraja la juu sana.
Yaani achezee mechi 32 awe na Gori 7 awe mchezaji wa daraja la juu? 😅😅
 
Kwa mtizamo wa mleta bandiko, Kyombo ni mshambuliaji mahiri kwakua alipoingia alikua akiruka na kuwazidi mipira ya juu mabeki wa Yanga, alikua akiwapiga chenga mabeki wa Yanga Kwaiyo ni mshambuliaji kinara Kwa wazawa.
Kitu ambacho mleta bandiko aelewi izo zoote ni kazi Bure kama mshambuliaji hafungi.
Kazi za mshambuliaji ni kufunga Magoli, sio chenga Wala kurukajuu kuwapita mabeki.
Uwezo wa mshambuliaji ni Sanaa ya ufungaji izo purukushani nyingine hazina maana yoyote katika mpira wa miguu.
 
Makambo alitoka na magoli mangapi ikiwa magoli 7 mnayaona madogo? Huyo mayele aliyekuwa team yenye wachezaji na miundombinu mazuri alimzidi magoli mangapi kwenye msimu mzima?

Hizi zinakutosha kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani umeona uzi wangu ukaamua ucopy na kupaste kuanzisha wako siyo

Umeona uzi wangu ukacopy na kupaste mada yangu kwa kuanzisha uzi mpya. Siyo kesi ila nadhani ungechangia kule maana hakuna ushindani humu.
Uliusajiri huo uzi wako badsti
 
Yaani achezee mechi 32 awe na Gori 7 awe mchezaji wa daraja la juu? 😅😅
Hata angekuwa na magoli mawili bado atakuwa wa daraja la juu. Alikuwa anacheza na wachezaji wa aina gani? Makocha walikuwa kina nani? Msimu uliopita ilibaki kidogo Mwamnyeto awe beki bora wa Ligi kuu kwa kuwa tu alikuwa akicheza na wachezaji wazuri hivyo akaonekana bora. Kilichombeba ni kivuli cha mafanikio ya timu ila hakustahili hata kuingia kwenye mchuano.
 
Huo ubora mnaousema mbona alishindwa kuuonesha akiwa mamelodi sundowns mpaka akaamua kurudi nyumbani..au kule napo kulikuwa hakuna wachezaji wazuri..?? Of course ni mchezaji mzuri Ila siyo kusema eti ndo Bora kuliko wote Kwa wazawa, wapo kina Lusajo kila msimu wanakupa gori 10+ nao ni wazawa utasemaje??
 
Nikubaliane na wewe kwa kusema kuwa hata Chama hana ubora wowote kwa kuwa kule Berkane alishindwa kuonesha ubora mpaka akaamua kurudi Simba.
 
Mpira wa kule umepiga hatua, awahitaji mchezaji mwenye spidi ya konokono.Chama ni mchezaji wa apapa.
 
Mmeanza kuyapamba magarasa yenu mengine,mliyapamba magarasa kina Kibu yamewaumbua mmehamia kwa garasa lingine
 
Yaani achezee mechi 32 awe na Gori 7 awe mchezaji wa daraja la juu? [emoji28][emoji28]
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe Kyombo alisajiliwa Mbeya kwanza raundi ya pili. Mechi 15 goal 7 .Mayele mechi 30 goal 16.
 
Kwa mtizamo wa mleta bandiko, Kyombo ni mshambuliaji mahiri kwakua alipoingia alikua akiruka na kuwazidi mipira ya juu mabeki wa Yanga, alikua akiwapiga chenga mabeki wa Yanga Kwaiyo ni mshambuliaji kinara Kwa wazawa.
Kitu ambacho mleta bandiko aelewi izo zoote ni kazi Bure kama mshambuliaji hafungi.
Kazi za mshambuliaji ni kufunga Magoli, sio chenga Wala kurukajuu kuwapita mabeki.
Uwezo wa mshambuliaji ni Sanaa ya ufungaji izo purukushani nyingine hazina maana yoyote katika mpira wa miguu.
Akili ndogo
 
Striker wa kawaida sana anategemea sana ubavu sio tricky ana miguu mizito ni kind of Mugalu ataweza kutunza mpira ila sio goal poacher.
 
Back
Top Bottom