Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

Wewe unalaumu watu kutumika na watu wachache kwa manufaa yao huku nawe unafanya hicho hicho!!!!

Kweli nyani haoni kund..e!!
 
Wewe unalaumu watu kutumika na watu wachache kwa manufaa yao huku nawe unafanya hicho hicho!!!!

Kweli nyani haoni kund..e!!
Nani anatumika kwa agenda ya nani mkuu?
Huoni Diaspora wanakesha ku mu endorse mgombea fulani by hooks or crooks...

Hao Kina Habibu na wenzao, kama story wameandika humu au any other social media kuna haja ya kulalamika kweli?

Utaandika story kwenye kitabu kutoka humu alafu niku mention mf. residentura ?

Na kama hizo kaz wao wanadhani wanastahili kuzimiliki taratibu si zipo?

Hizi bla bla zinaibuka sasa kwa sababu ya kutofautiana mtazamo kuhusu wagombea wa CDM pekee? Au unaona kuna mengine?
 
Mwizi wa kuiba articles, books na Vols.!
Mbobezi wa plagiarism na bingwa wa ku copy and paste!
Hatarii, LAZIMA AJE GT KUJIBU TUHUMA HIZI NZITO!
 
Ngoja kwanza. Hawa jamaa wote ni wezi tu hata huyu The Bold ni mwizi maana sijawahi ona kazi yake original maandiko yake mengi ni kazi za watu anazi tafsiri tu ndio maana sikuwahi kusoma kazi yake hata moja. Nikianza tu naona kabisa ni kazi za watu katafsiri tu.

Huyo alipitia upepo wa wabongo wengi kutokujua lugha na kutokufuatilia mambo kujidai ameleta kazi yake kumbe ni wizi tu halafu huwa hata hawatoa credit kwa original authors.
 
Wampeleke mahakamani, Mahakama ikithibitisha wizi huo, Wapeleke nakala ya hukumu na ushahidi wa makala alizoiba kwa publisher, na kumuomba aache kuchapa hivyo vitabu feki. Kisha wapeleke copy kwa wauzaji wote akiwamo Amazon.

Alafu wafungue kesi ya madai. Pesa yote aliyowahi kuipata kutokana na mauzo ya hivyo vitabu/Makaratasi feki atazirudisha na mtalipwa na kumuacha kigamboni akivua samaki kama zamani.
 
YULE JAMAA NI MWIZI SANA.
MIMI NIMESOMA MAKALA ZA DANIEL MJENGA RAIA MWEMA.(2010-2015)

ANACOPY VILE VILE.
 
Vitabu vya Yericko ametoka miaka kadhaa nyuma.
Hao walioibiwa kazi zako walikuwa wapi kusema na kumshtaki wakati huo??

Kwa kuwa Yericko ana ukaribu na Mbowe imekuwa nongwa??

Acheni undezi na propaganda na kijinga.))😎
 
Yericko yeye anasemaje?
 
Yericko Nyerere asingeshinda tuzo huyu Habibu wa Nifah aisngekuja kudai.

Yawezekana ni kweli kaibiwa lakini hili likekuja baada ya kuona Yericko katusua
 
Na mimi nikakumbia. Nazungumzia elimu yake ambayo amesema kaipata USA na Uingereza. Nauliza. Mbona hawezi kuandika hata sentensi moja iliyonyooka?
 
Yericko Nyerere njoo ujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…