residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Matapeli wawili wamekutana.
Naye huyo Habibu si anatuhuma za utapeli zipo humu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naye huyo Habibu si anatuhuma za utapeli zipo humu??
Pesa atafute ndio lakini kihalali. Au unadhani plagiarism ni halali?Kama aliweza kukopi na kupest akapigwa hela huyu ni mjamja bro acheni chuki tafuteni mpunga
Hivi ni kweli kuwa wewe ni Joyce Mukya!!??Wewe mpuuzi, Mbowe ameingiaje hapa
Wewe unalaumu watu kutumika na watu wachache kwa manufaa yao huku nawe unafanya hicho hicho!!!!Habibi Hanga si kun thread ya kumtapeli mtu humu elfu 60.
Seeeking validation for bs..
Hizi ni public platforms na huna haki na chochote unachoandika humu au kwenye social media yeyote...
Hizo bla bla zao za kijinga toka vitabu vinauzwa vinaisha vinachapishwa vingine walikuwa wapi...
Siasa maji taka wanacheza.
Vijana wengi wa kitanzania ni mazuzu sana , unatumika na watu wachache kea manufaa yao... Wewe unabaki mbangaizaji tu.
Mwambieni waendelee kuimba wimbo wa Diaspora
Hata huyo baba Harith naye si huwa anazitoa kwingine hizo makala zake 🤣.Naye huyo Habibu si anatuhuma za utapeli zipo humu??
Nani anatumika kwa agenda ya nani mkuu?Wewe unalaumu watu kutumika na watu wachache kwa manufaa yao huku nawe unafanya hicho hicho!!!!
Kweli nyani haoni kund..e!!
ni mma yakoHivi ni kweli kuwa wewe ni Joyce Mukya!!??
Yericko yeye anasemaje?Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?
Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558
Na mimi nikakumbia. Nazungumzia elimu yake ambayo amesema kaipata USA na Uingereza. Nauliza. Mbona hawezi kuandika hata sentensi moja iliyonyooka?La kuiba kazi za watu sijazungumzia.
Nimeelekeza swali-hoja yangu kwenye madai yako kuwa Kiingereza chenyewe Yericko kuandika hawezi hata sentenso.
Kitabu ni Road to Ikulu.
Kuna Mwingereza amekwama kwenda Ikulu kwa kushindwa kumuelewa Yericko na Kiingereza kibovu ????
Aje pia na CV yakeYericko Nyerere njoo huku ujibu shutuma
Ametusua kwenye ni nini?Yericko Nyerere asingeshinda tuzo huyu Habibu wa Nifah aisngekuja kudai.
Yawezekana ni kweli kaibiwa lakini hili likekuja baada ya kuona Yericko katusua
Yericko Nyerere njoo ujibuKumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?
Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558