Habibu B. Anga (The Bold) Mungu akupe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate your writings brother. All the best

Habibu B. Anga (The Bold) Mungu akupe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate your writings brother. All the best

Wewe ni kenge mkubwa, hata jina lako ukikosea herufi kidogo tu linatokea boooonge la kenge.

[emoji1493][emoji1493][emoji1493]
Mods watasema nawe..😅
Sisi kazi yetu huwa ni kupigwa Ban nakulalama tunaonewa kumbe ndo wakosaji wakubwa..😂
kila mmoja anabeba dhima ya umuhimu kwa wengineo, usijidharau kiasi hicho hata kwa njia ya utani........
Mkuu wewe wasema ngoja nikuorodheshee sifa zangu halafu utachambua mwenyewe.. kwanza Domo zege!,Nina Kibamia,Jana tu nilijikwaa nikaanguka badala nipewe pole ndo nasikia sauti inaniambi kaka wa watu tafuta hela si unaona hata mawe hayakupendi yanakuangusha tu!.. mwishowe yaje yakuuwe..😅

Niendelee au niongeze sauti..??
 
Hongera kwake.. kazi nzuri.
Sijui hiyo kazi yake huwa anatafuta hela tu au anamengine maana anafahamu vitu si mchezo..
Jamaa ana passion na kazi yake.

Tumebaki sasa makomamanga ambao huwa hata hatutwajwi si kwenye lolote..[emoji28]
Nimeamini kwenye msafara wa mamba na kenge wamo..[emoji23]
Alaa kwahiyo wewe ni kenge au mamba?

Haujambo lakini?
 
[emoji849]
Tayari nishajitanabaisha..

Mi mzima sijui wewe..?
Leo kuna uzi nimekuta uliandika bonge la point sema nimeusahau acha kujidharau bhana kila mtu ana kipaji alichojaaliwa na Mola.

Mimi sijambo.
 
Leo kuna uzi nimekuta uliandika bonge la point sema nimeusahau acha kujidharau bhana kila mtu ana kipaji alichojaaliwa na Mola.

Mimi sijambo.
😂😂
Kaangalie vizuri labda unaota wewe..
 
Anaehitaji soft copy ya Prisoner X aniambie maana naona jamaa ni bingwa wa kunakiri na kutafasiri kazi za watu na kuzileta humu ndani.

Baada ya wanazengo kugundua janja yake katokomea kusikojulikana na kuna kipindi alijinasibu ana taarifa nyeti za nchi kumbe janja janja tu hana lolote.

Ila ninachomkubali ni mzuri wa kucheza na google kupata taarifa zaidi ya matukio mbalimbali anazokuja kusimulia humu.
 
The Bold ni kama Tanzanite, dini moja adimu sana aisee. Apart na uandishi ni moja kati ya Waandishi wenye kusikiliza mawazo ya wasomaji wake na kuyafanyia kazi. Ana familia kubwa sana ya washikaji..#THEBOARD
Habibu B. Anga
 
Back
Top Bottom