Habibu B. Anga (The Bold) Mungu akupe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate your writings brother. All the best

Kwa kweli...ila na wewe nitakufungulia Uzi wa kukupongeza,hauko nyuma kwenye kutuelimisha mkuu
Asante sana dada. Kuniambia tu ya kuwa sipo nyuma kuwaelimisha kwangu inatosha sana ndugu yangu. I appreciate that.
 
Naomba soft copy mkuu
 
Kwani unamlipa, una roho ya kutu sana
 
Hata kunakili ni kipaji, ukipewa kazi ya kunakili na usimulie hapa hutamfikia, kubali tu jamaa anaweza na ana mvuto.
Lakini umeonyesha sura yako halisi ya roho mbaya
 
Pia hata wewe mkali br endeleeni kutupa madini
 
Mimi nikiingia Jamii intelligence huwa namsoma sana mpongezwa
 
Yuko vizuri kabisa, nawe pia unatumia vizuri ujuzi wako
Nalog off
 
Mzee baba ni ya Kiswahili au ni ya kiingereza ?
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…