Habibu B. Anga (The Bold) Mungu akupe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate your writings brother. All the best

Habibu B. Anga (The Bold) Mungu akupe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate your writings brother. All the best

Anaehitaji soft copy ya Prisoner X aniambie maana naona jamaa ni bingwa wa kunakiri na kutafasiri kazi za watu na kuzileta humu ndani.

Baada ya wanazengo kugundua janja yake katokomea kusikojulikana na kuna kipindi alijinasibu ana taarifa nyeti za nchi kumbe janja janja tu hana lolote.

Ila ninachomkubali ni mzuri wa kucheza na google kupata taarifa zaidi ya matukio mbalimbali anazokuja kusimulia humu.
Na ihitaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mhhh
 
Kusema ule ukweli, Habibu B. Anga ni kati ya mafundi ninaowaamini katika uandishi.
Napemda namna anavyojenga taswira katika maandishi yake kiasi kwamba ukiwa unasoma utajikuta kama vile nawe ni character.

Huyu jamaa namheshimu sana kwakweli.
 
Ni mwandishi mmoja mahiri sana kama uliwahi kusoma moja kati ya vitabu vya Mkimbizi, mtuhumiwa, sniper nk.. hizo ni baadhi ya kazi zake.
 
Ni mwandishi mmoja mahiri sana kama uliwahi kusoma moja kati ya vitabu vya Mkimbizi, mtuhumiwa, sniper nk.. hizo ni baadhi ya kazi zake.
Sawa mkuu, ngoja nitafanya juhudi za kutafuta makala zake nizisome ili nimjue zaidi.
 
Back
Top Bottom