Hackers tukutane hapa!

Hackers tukutane hapa!

Alikuwa ameshahack tayari akaunti yangu na anaitumia hadi profile photo ameweka sasa wakati najaribu kuregister upya ili nipate access ndio ikaja code kwa namba yake.
Jinsi alivyoihack namba yangu kwa kweli sijui maana ile namba kwenye normal call haiko ilishafungwa nilikuwa naitumia kwa whatsapp tu
Uli click link au kumpa verification code
 
1740069648079.png
 
Uliona link za sijui UNICEF foundation sijui wanapeana pesa bonyeza hapa kupokea zako don't link most unknown links usi click pia hacking links nyingi huanza na http// badala ya https
My name is Miriam, from SOCIALANDER DIGITAL affiliated with Amazon E-commerce. Our company need employee from different countries to browse some products to increase the visibility and sales of merchants Can you work from home with the AMAZON Online App* As a Reviewer [ pay per-clicks } for part-time with salary 50,000 TZS-200,000TZ per day per day, 🙏 I'll give you 1 trial demo task to see how it works. Once you are done, you'll be rewarded 5000TZS.

Reply YES If Interested.
Nimepkea text hiyo whatsapp mtumaji namba yake ni from colombia vipi kuna ukweli hapa au ndio naenda kuhackiwa
 
White hat hackers mpo wapi?
Cyber security experts let us meet here and exchange different ideas.
Kuna dau kwa ambaye atasaidia kupatikana eth 1.4 bilion dollars zilizopigwa na mahacker huko bybit. Dau ni dola milioni 140 mkuu. Haya mahacker kapambanie kombe mkapambane na lazarus hackers wa north korea waliopita na cryptos
 
-AI inaweza kudetect na kublock malware tofauti na traditional Antivirus
-AI Ina weza ku atomate attacks mfano kuhacke password
-AI can discover exploit
Your job is very simple just subscribe YouTube pages after that send me screenshots and you will get paid.
Click on the link below and subscribe to our Amazon channel on YouTube and send me screenshots

Naona kama naenda kuhackiwa nimeambiwa nibonyeze link
 
Hao ni wajinga hata juzi niwaona Instagram ulifanya hivyo wanakudanganya watakulipa
Your job is very simple just subscribe YouTube pages after that send me screenshots and you will get paid.
Click on the link below and subscribe to our Amazon channel on YouTube and send me screenshots

Naona kama naenda kuhackiwa nimeambiwa nibonyeze link
 
Pia wanatuma sana hizi sms inbox be careful about this
My name is Miriam, from SOCIALANDER DIGITAL affiliated with Amazon E-commerce. Our company need employee from different countries to browse some products to increase the visibility and sales of merchants Can you work from home with the AMAZON Online App* As a Reviewer [ pay per-clicks } for part-time with salary 50,000 TZS-200,000TZ per day per day, 🙏 I'll give you 1 trial demo task to see how it works. Once you are done, you'll be rewarded 5000TZS.

Reply YES If Interested.
Nimepkea text hiyo whatsapp mtumaji namba yake ni from colombia vipi kuna ukweli hapa au ndio naenda kuhackiwa
 
Wabongo mkishaweza kurudisha akaunti za Facebook zilizoibiwa bc mnajiona hackers 😂
 
Back
Top Bottom