Hackers tukutane hapa!

Hackers tukutane hapa!

Kuna mtu aliniambia atanizawadia GB 30 nikijibu swali fulani ilikuwa whatsapp,nilipojibu akaniambia kuwa kuna code itaingia inatakiwa nimtumie yeye ili animation hiyo 30GB lakini,kuna mtu akaniambia nisimpe code yoyote ni hacker
Je ni kweli
Ukimpa code baadae anaiteka akaunti yako ya whatsapp anaimiliki yeye,hiyo code anayosema itakuja kwako itakuwa ni ya kurequest from whatsapp alijifanya anacreate whatsapp account kwa kutumia number yako ukishampa code akiingiza baadae anaonekana yeye ndio mmiliki wa hiyo whatsapp number yako kisha ataanza kuwasiliana na watu wako na kuwaomba hela na watu wako watajua ni wewe.
Juzi kuna mtu ameishikilia number yako ya whatsapp sina access nayo tena ikanibidi nifungue akaunti mpya na kuwatangazia watu wangu
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!
 
Kuna siku nilikuwa najiunga na mtandao flani, kama kawaida nikaambiwa nitatumiwa code niijaze na kweli punde nikatumiwa hiyo code
Lakini kabla sijajaza hiyo code ghafla,ikaingia sms kwenye siku imeandikwa namba ambazo zipo sita kama tu zinavyokuwa za code halafu na maneno haya kwa mbele
"Please proceed with this,tumia busara"
Namba ilikuwa ngeni
Je hapo kuna nini
Nadhani ilikuwa ni OTP ya kawaida, kuna muda hata facebook walitumia namba kama ya mtu instead ya kutumia alphanumeric sender ID yenye jina la kampuni yao...

Haya makampuni kama X, facebook na google wanatozwa pesa ndefu sana kulipia hizo OTP alphanumeric sender IDs, kuna kipindi twitter walitaka kuacha hizo huduma za OTPs na walipunguza sana kwa sababu makampuni mengi Africa hususani Tz walifanya udanganyifu...

Kila OTP sms moja twitter walikuwa wanalipa, makampuni yakawa yanafanya fraud kuonyesha sms nyingi zimetumwa hali ya kuwa si kweli, twitter wakaona upuuzi...

Hivyokwa hio app kutumia nama ya simu labda pia ni njia yao kupunguza gharama..
 
Ilikuwa ni whatsapp verification code
Whatsapp verification code haiji kutoka kwa personal number huyo ni hacker ukitumia hiyo code baadae anakuwa na access na akaunti yako ya whatsapp.
Hata mimi juzi kuna mtu alinitumia kitu kama hicho nimekuwekea screenshot uone
 
Attachments

  • Screenshot_20250220_154817_Messages.jpg
    Screenshot_20250220_154817_Messages.jpg
    69.9 KB · Views: 4
Whatsapp verification code haiji kutoka kwa personal number huyo ni hacker ukitumia hiyo code baadae anakuwa na access na akaunti yako ya whatsapp.
Hata mimi juzi kuna mtu alinitumia kitu kama hicho nimekuwekea screenshot uone
Mimi ilikuwa inatoka kwa wenyewe whatsapp ila yeye ndo sijui alikuwa anafanyaje ndo hiyo code inakuja kwangu
 
Nadhani ilikuwa ni OTP ya kawaida, kuna muda hata facebook walitumia namba kama ya mtu instead ya kutumia alphanumeric sender ID yenye jina la kampuni yao...

Haya makampuni kama X, facebook na google wanatozwa pesa ndefu sana kulipia hizo OTP alphanumeric sender IDs, kuna kipindi twitter walitaka kuacha hizo huduma za OTPs na walipunguza sana kwa sababu makampuni mengi Africa hususani Tz walifanya udanganyifu...

Kila OTP sms moja twitter walikuwa wanalipa, makampuni yakawa yanafanya fraud kuonyesha sms nyingi zimetumwa hali ya kuwa si kweli, twitter wakaona upuuzi...

Hivyokwa hio app kutumia nama ya simu labda pia ni njia yao kupunguza gharama..
Lakini hiyo namba iliyonitumia hiyo sms kuna siku ilinipigia ikidai imeona missed calls zangu nilipoiambia kuwa sijaipigia ikadai kuwa si vibaya kufahamiana ikaniuliza ninaishi wapi
 
Mkuu au ni hizi app za kibongo?
 
Whatsapp verification code haiji kutoka kwa personal number huyo ni hacker ukitumia hiyo code baadae anakuwa na access na akaunti yako ya whatsapp.
Hata mimi juzi kuna mtu alinitumia kitu kama hicho nimekuwekea screenshot uone
Hio code ulikuwa unajiunga na account ya whatsapp? ina maana alifahamu vipi muda huo unajiunga na whatsapp?
 
Alikuwa ameshahack tayari akaunti yangu na anaitumia hadi profile photo ameweka sasa wakati najaribu kuregister upya ili nipate access ndio ikaja code kwa namba yake.
Jinsi alivyoihack namba yangu kwa kweli sijui maana ile namba kwenye normal call haiko ilishafungwa nilikuwa naitumia kwa whatsapp tu
 
Back
Top Bottom