Hackers tukutane hapa!

Hackers tukutane hapa!

Kuna software/tool ipo kwenye linux jina , unatengeneza access point inafanana na hio hio wi-fi halafu unafanya de-auth, yaani una kata connection kati ya hio wi-fi na devices zote zilizopo hayo maeneo, access point yako inabaki active, halafu wataona wi-fi yako wakidhani ni ya kwao, hivyo mwenye password ataingia kwenye wi-fi yako na kueka password, then utaziona kwenye dashboard password zilizowekwa...

nikupatie hio tool?
Sasa kama mwenyewe anajua hayo mambo akikunasa vipi
 
Hamna kitu tumepigwa kamba ndefu kama your whatsApp chats are end-to-end encrypted
 
Unakutana na website ili u view content zao please add your credit card number password wamemaliza au unapokea email umeshinda pesa ukituma tu taarifa wamemaliza

Au iPhone 16 inauzwa 150k unataka kununua umeenda
Kuna mtu aliniambia atanizawadia GB 30 nikijibu swali fulani ilikuwa whatsapp,nilipojibu akaniambia kuwa kuna code itaingia inatakiwa nimtumie yeye ili animation hiyo 30GB lakini,kuna mtu akaniambia nisimpe code yoyote ni hacker
Je ni kweli
 
Jamaa ajajua tu sema hapa kwenye surface web mara nyingi tupo safe kwa kiasi ila huko deep unaibiwa bila kujua
Sure mkuu, na njia za hacking ni zile zile tu, mtu anachagua kulingana na pahala anapotaka kukabiliana nako.
 
Sasa hayo madini au notes za kusoma networking nayatoa wapi mkuu, nipe mwongozo hapo
YouTube unajifunza network unaielewa, programming kama Python na C programming lazima ujue unahamia kwenye Operating system the Tools na namna ya kuzitumia
 
Na most hacking kama phishing hacker hucheza na psychology tu
Yeah huwa ni wazuri sana kwenye hilo eneo, kwasababu wanajua Kila mtu huwa anatamaa na tamaa ya Kila mtu huwa inazidi kwenye eneo na eneo so wanatumia huu udhaifu, na wanafanikiwa sana tu.
 
Vp hackerone ushapata invitation?
 
Yeah una kuwa limited ethical hacking unafundishwa how to protect people from vulnerable threats,fraud, hacking
Na hao black hackers wanajifunza wapi hayo mautundu yao?je kuna taasisi maalumu wanapokwenda kujifunza hiyo taaluma?
 
Na hao black hackers wanajifunza wapi hayo mautundu yao?je kuna taasisi maalumu wanapokwenda kujifunza hiyo taaluma?
Hapana Kuna Vitabu unasoma ila sanasana hacking it about tools na ukijua network & programming basi hamna kingine na hizo methods
 
Back
Top Bottom