Hackers tukutane hapa!

Hackers tukutane hapa!

😂ila watu wa cyber wanajitahidi hata hao wa huko udom
Kuna Matukio yanastuaga mfano DIt miaka michache nyuma site Yao ilivamiwa walihanja vibaya mno.

Hapa Kama mwanafunzi lazima urudi kujiuliza wanaokufunza ni wa level gani na Wana experience kiasi gani ?.
 
Mostly hawana, ni wachache sana tena ambao walifanya kazi kenye sekta hiyo. Lakin kama career yake imekuwa chuoni tu, atakupa mifano ya watu wengine
 
Nchi Inasubiri uhangaike mwenyewe uive ije ikusombe.
Wadogo zetu inafikia wakati wanaona hii career miyeyusho kumbe wakufunzi wamekuwa kikwazo kwao.
 
Back
Top Bottom