2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema alikuwa anapewa umbea namarehemu! Sijui marehemu gani? Maana Tz ina marehemu wengiView attachment 2921513Kuonyesha sura sio ishu! Labda kama kuna mengine
Unalike hadi pg za umbea? Mwana una balaa weeee!!Wazee wa kazi au kule Nigeria tunawaita Yahoo Boys wame-hack account ya Soudybrown, mtangazaji wa kamapuni ya utangazaji ya Clouds Media Group, na Chaumbea namba mmoja nchini TANZANIA.
View attachment 2921432
Hata hivyo vinara hao wa udukuzi hawakuishia ku-hack tu account yake, pia walimpa na masaa ya kuwalipa pesa ili warudishie account yake, kiasi cha dollar 10,000 ambayo ni zaidi ya Shilling Millioni 25 za kitanzania. Huku kwenye background wakiweka nyimbo ya Rayvanny-Money. Huku wakitaka pesa hizo zilipwe kwa mfumo wa Sarafu Mtandao wa Bitcoin. Hili isiwe rahisi kwao kugundulika.
Baada ya Soudybrown kushindwa kufikia Makubaliano, yani deadline ya saa nane mchana, wazee hao wa ngwasuma yani wazee wa kazi wakaamua kumkomoa kwa kufichua sura yake ambayo kwa muda mrefu amekuwa akiificha kwa kuvaa mask usoni.
View attachment 2921438
Huku caption ikisomeka kama ifuatavyo;
"Umekuja Dm Unatia tia huruma gangamara mwanaume usijirize sisi tunataka Pesa Dola 10,000 tu tutakuludishia takataka zako
hatutaki maneno ona sasa tunakuumbua tunakuvua maksi, na hizi ni lasha lasha tu kibwengo wahed tutaachia chati zako zote mpaka vyeti vya hospitali. Hee marehemu kumbe alikua hajambo kwa kukupa maumbea ya wenzake. Fanyia kaz maelekezo tuliyokupa sivyo tutakuweka wa mnyama Tunaitwa Panya wa Kampala usituchezee"
Mpaka hivi sasa bado ufumbuzi wa tukio hili haujafahamika.