Hackers wadukua IG ya Chaumbea Soudybrown na kufichua Sura yake huku wakimtishia kutoa Mamilioni ya pesa ili wasifichue siri zake

Duh hatari hii... Leo ndiyo nimeijua sura ya Soudy Brown, kumbe ni Huyo!!! Wahuni hatari hao, lakini kama ni Hackers wa Kampala nadhani wana ushirika na wabongo. Maana chats zao zimekaa kibongo bongo.

Pia, wao wana akili. Wanaweza wakasema kuwa ni wa Kampala au Nigeria ili kuhamisha attention. Kuanza kujidirect moja kwa moja kuwa ni wabongo wa hapahapa ni hatua moja wapo ya kuanza kumpa ushindi adui yako na kumpa code mapemaa.

Tupo na hii movie hadi tuone mwisho wake... Hatari.

Tunawasubiri wamdukue Kigogo, maana sa hivi yupo hadi Instagram. Wakifanikiwa kwa Kigogo nitaamini kweli hawa jamaa ni Hatari. πŸ˜€
 
Unalike hadi pg za umbea? Mwana una balaa weeee!!
 
Usd 10kπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata kama kuna connection waiachie tu. Maana hata akiwalipa hawataishia hapo watabaki na copy waendelee kumsumbua
 
Mi natamani niione konekshen ya batuli naona watu wanadai wameiona imevuja nasikia mtoto anakata mauno huyo full kulia utamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…