Had SEX with a stranger!!! Please help, Have I cheated?!

Wow nimependa style ya uandishi wako! Hongera kwa kubaki mwepesi hiyo lazima ilikua wet dream!

Finally ambae tupo in the same line. Hili swala la jini mahaba wapo kunitisha hawa wadau.
 
Mwali sasa kama we hutaki kumwambia unategemea nini? Erry hapa ni mtaalamu wa ku-flirt ndo maana unaona kama kashamuweka kona vile.

Erotica. . . hahahahaha. . .punguza uchokozi wewe, ntakuchapa!!

teh teh teh. labda uniambie utanichapia nini ili nitishike kweli.
 
Mwali sasa kama we hutaki kumwambia unategemea nini? Erry hapa ni mtaalamu wa ku-flirt ndo maana unaona kama kashamuweka kona vile.

Erotica. . . hahahahaha. . .punguza uchokozi wewe, ntakuchapa!!
Mi nashindwa sasa, naona kama I am too blond for him.
Ila leo nimesoma post yake anasema kichwa sio muhimu
Nimepata nguvu ghafla, labda nitafunguka nikimuona tena.
 
Acha hizo bana. . .besides, hata kama ungekua blond + 'kichwa' chake kwa kiasi kikubwa matokeo yangekua 'KICHWA' kingine. Embu changamka kabla sijakukuwadia nianzishiwe thread.
 
Lizzy mimi hata sisome comment za Mwali, ananiboa. naona anataka niingilie kati

ili aone to what lengths she can make to keep what she thinks hers to be truly hers.

Mie namvutia tu hapa. ngoja ataona!
 
Last edited by a moderator:
Topic: Had SEX with a
stranger!!! Please help, Have
I cheated?!

Jamani WHAT IS THE DIFFERENCE between CHEATING and MARITAL INFIDELITY, or sexual infidelity?
 
Don't do that. I'll run away from JF or change my ID. lol
 
Topic: Had SEX with a
stranger!!! Please help, Have
I cheated?!

Jamani WHAT IS THE DIFFERENCE between CHEATING and MARITAL INFIDELITY, or sexual infidelity?

Cheating katika mahusiano ni sleeping with another person who is not your partner while in a relationship.
Marital Infedility is doing the cheating while married.
Sexual infedility si sawa tu na cheating iwe mmeoana au hamjaoana. Ok,

sasa tell me have i cheated?
 
Duh nimecheka sana kama Kibela vile......hivi mpenda threesome kama wewe una boyfriend na unaconcious ya kufeel guilty una cheat........unajitahidi kwa topic za kuchitchat:rockon:

Hapa si ndoto wala nini...mtu kafika bei sehemu anajiuliza mara mbili mbili inakuwaje....mhhh kweli mpaka tufike tunakokwenda tunaona mambo mengi sana.
 
Laigwanan hio 3some ni fantasy papito. hata hivo nisha

kuona bila kunikorofisha huna raha. teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Hapa si ndoto wala nini...mtu kafika bei sehemu anajiuliza mara mbili mbili inakuwaje....mhhh kweli mpaka tufike tunakokwenda tunaona mambo mengi sana.

Ndahani nikuulize kitu utaweza kua na ubavu wa kunijibu? au muoga?
 
Last edited by a moderator:
Lizzy mimi hata sisome comment za Mwali, ananiboa. naona anataka niingilie kati

ili aone to what lengths she can make to keep what she thinks hers to be truly hers.

Mie namvutia tu hapa. ngoja ataona!

Erry, Mwali kasema he is no HERS bana, atleast not yet. . . kwahiyo anaumia tu ndani kwa ndani mnavyojiachia. Mpotezee basi yule nae nikutafutie hotties wa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…