Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nashindwa sasa, naona kama I am too blond for him.
teh teh teh. labda uniambie utanichapia nini ili nitishike kweli.
Sa nyingine si jini bana too much genye leads to thtFinally ambae tupo in the same line. Hili swala la jini mahaba wapo kunitisha hawa wadau.
Acha hizo bana. . .besides, hata kama ungekua blond + 'kichwa' chake kwa kiasi kikubwa matokeo yangekua 'KICHWA' kingine. Embu changamka kabla sijakukuwadia nianzishiwe thread.Mi nashindwa sasa, naona kama I am too blond for him.
Ila leo nimesoma post yake anasema kichwa sio muhimu
Nimepata nguvu ghafla, labda nitafunguka nikimuona tena.
Acha hizo bana. . .besides, hata kama ungekua blond + 'kichwa' chake kwa kiasi kikubwa matokeo yangekua 'KICHWA' kingine. Embu changamka kabla sijakukuwadia nianzishiwe thread.
Don't do that. I'll run away from JF or change my ID. lolAcha hizo bana. . .besides, hata kama ungekua blond + 'kichwa' chake kwa kiasi kikubwa matokeo yangekua 'KICHWA' kingine. Embu changamka kabla sijakukuwadia nianzishiwe thread.
Topic: Had SEX with a
stranger!!! Please help, Have
I cheated?!
Jamani WHAT IS THE DIFFERENCE between CHEATING and MARITAL INFIDELITY, or sexual infidelity?
Naona hii week hii ni yangu!! Baada ya kupita majaribu na boyfie mambo yamenigeukia tena.
Kwanza inabidi mjue kua alikua hayupo kasafiri karibu miezi miwili na tukajeruhiwa kabla
ya kuridhisha nafsi ma miili yetu. Alipokuja ndio hapo alipokuja
na style ya kuumiza viungo na kutufanya hamu yote iishe. Jana nimejisikia Uchovu mwili mzima
nikapumzika kwenye sofa sebuleni huyoo nikapitiwa na usingizi. Nilipoamka ghafla nikanyanyuka
huyo hadi chumbani, nikavua nguo , nikaenda kuoga na kuamua nitoke Out yap eke yangu kwa
nikapate mbili tatu kwa ajili ya kupoteza mawazo na maumivu tokana na style bubu.
Mungu si Juma wala si Athumani baada ya kunywa akajitokeza kaka na kusogea karibu yangu pale
kuomba aninunulie kinywaji, nikamwambia nimetosheka kama anaweza twende on the dance floor tucheze
muziki. Aka Smile na kukubali, aliposmile ndio nikaona wazi kua he is cute in a mannish way.
Baada ya mazungumzo ya dakika moja kanichekesha vya kutosha hao tukaenda kucheza. Sikumbuki kitu.
Naomba msinijaji, kitu pekee nakumbuka ni kua wakati tunacheza niligundua ana strong arms. I like that.
Lililofuata hapo ni kua najishtukia tupo nae kitandani tupo Kokrochi death na ndio kwanza nimepandisha mlima na
cumming like neva b4. Mwili wote hauna nguvu, I feel like a baby na mwepesiiiii. Mara mlango unafunguliwa kwa Nguvu!
Boyfie kaingia na kutukuta hivo ndio kwanza hata kuachiana bado.. Nampenda sana, najishangaa
imekuaje nimemsaliti??!! Roho inanilipuka!! Nakurupuka kama vile nimetoka usingizini! Roho inaenda mbio!!
Kuangalia vizuri na pale pembeni nakuta boyfie bado kalala hana habari nan i usiku wa manane.
Kumbe nilikua naota labda tokana na genye nyingi nilizo nazo. Lakini najisikia kabisaaa kama vile nimetoka
kufanya na nimeamka lakini bado najisikia mwepesi na nimeshiba. I touch myself naona kama vile nimetoka
kufanya hakuna ubishi. I look at my boyfie, I feel guity.
I feel guilty sababu kwa kweli yule stranger wa usingizini was good, nilitamani ndoto isiishe iwe milele.
Nisaidieni jamani hio sawa na Kucheat?
No mwaaaah, am confused. :decision:

Next time huyo jini akikutokea mpe number yangu ya sim
Maana mimi hapa sina boyfriend, hakuna kitakacho haribika.
Duh nimecheka sana kama Kibela vile......hivi mpenda threesome kama wewe una boyfriend na unaconcious ya kufeel guilty una cheat........unajitahidi kwa topic za kuchitchat:rockon: