Ziege liebe
Member
- Apr 20, 2012
- 41
- 4
Don't do that. I'll run away from JF or change my ID. lol
Kongosho, Mwali na Lizzy. Mie ni mwanamke mwenzenu bado sijawapata nyie
kutaka kunimwagia tindikali. Niliwauliza siku ile. nikawaambia hapa jf wanaume wanaonivutia
ni wengi tajeni wenu kabisa nijikwepeshe mkavunga. Leo hii ndio mko mbele kunitishia tindikali.
yaani kwa akili zenu nitakua tu nimetulia tuli nawaangalia tu?? Kumbukeni am erotic kila kitu sio Sex pekee.
Ndahani njoo ujibu hapa usijikaushe.
Nimeona nikuulize hivo hivo. Katika post zako katika thread zangu upo so sacarstic
as if the world revolves around you na wewe ni mtukufu kuliko mimi. Ni ajabu kua watu
mwa define utakatifu tokana na attitude ya mtu dhidi ya Sex. Mimi ndio Erotica and SEX
is my brand name hapa jf upende usipende. Unaweza niona kicheche, unaweza ona natafuta wapenzi,
unaweza niona ni CD Uko huru. Ila kile ambacho defines me ni kile kiko nyuma ya pazia. Usijifanye
wanifahamu sana only to find at the end mie ni mwanamke wako, yule ambae hata sex kwenye
mwanga anaona ni dhambi na anaogopa sababu tu kua utamjudge. taratiiibu papito.
ukinifuatilia sana unanifanya tu niwe interested in you na nikajikuta najitongozesha kwako.
We don't want that au sio? Mwaaah. :A S kiss:
Cheating katika mahusiano ni sleeping with another person who is not your partner while in a relationship.
Marital Infedility is doing the cheating while married.
Sexual infedility si sawa tu na cheating iwe mmeoana au hamjaoana. Ok,
sasa tell me have i cheated?
Haahaaa! Ntakuonaje mtu nisijekujua ni CD? Mi sio mtakatifu ila post zako zimekaa kichokozi...halafu wewe kufika bei kwa mtu sio dhambi...mbona ni sehemu ya maisha ya mwanadamu? Angalia usijaribu kunitongoza maana ukiona mikono yangu utaishia jumla jumla,lol!
I thought you committed sexual infidelity coz I used to know cheating as pretending to have reached the orgasm while in actual fact not reached that peak.
Hakua stranger bali ni mimi omba uonane na mimi ili utimize malengo yako ya ku do tena na safari ijayo ntakufikisha ambako hawajawahi kufikishwa wanawake wengi. Ohhh samahani!!!!!??? huja cheat hiyo ni ndoto tu ila angalia usije ukawa umezindua uhusiano na majini.
Too late. I like you already. Stage inayofuata ni kujitongozesha. @Ndhahani Kufika bei is an insult.
pale uliposema kwenye thread uliisema kwa namna ya kunikejeli na sikupenda. ni kweli wanawake tunatongozwa na
kuvutiwa na wanaume ambao wana uwezo, lakini haina mana kua ni kila mara hicho ndio kigezo.
Mnasababisha nyie wenyewe wanaume na roho mbaya zenu. Inapotekea umependa for what he is
mara kadhaa ukaumizwa na still unaempenda haku appreciate dili inakua kuna na ambae analipa.
sijui inakuje, ukiwa a hard arse, hujali wala hu appreciate na wamuendesha ndio anakuona wa maana.

Interesting...unakumbuka uliniambia Eng nikakuuliza ni abbreviation ya nini? Sorry kama ilionyesha kuwa nakudharau..imagine somebody behind the screen, unknown to me! Why do I think that is an insult and not a reality or a joke?? Sorry hata hivyo...