Ulipo niuliza eng nilijua ulimaanisha na kweli hukujua. Kuna koment moja uliniumiza nayo nikapotezea sredi iliyopita.
Na leo sikuipenda ile post yako ya kufika bei hali nimekwambia ni ndoto. hata hivo acha kupotezea.
kama nilivo sema ni too late. nitakua nakutembelea mara kwa mara. teh teh teh.
teh teh teh. Rohoni utasema si ndio haya haya ambayo namfikiria alafu anabisa??!!
Kwenye post hapa unafikiria sijui niseme/nipost nini nisimkwaze sabb kisha onekana wa ku mind.
hakuna kupotezana hapa huyo ni jini mahaba tafuta namna ya kuombewa na aamka kutoka ndotoni sasa na uwe na utamaduni wa kusali zaidi hali hatarishi hiyo ukiendekeza next time atakuja kuchukua roho yako
Utanitembelea wapi sasa? Kazi ipo,lol! Karibu kama utaweza ila ni ngumu kweli, haaahaaa!
Namfikiria mtu nisiyemjua? How? Niko peace tu ila naogopa kumkwaza au kumtukana mtu.
mimi si ndio mwenye shida? wewe tulia tu endelea na maisha yako.
will do my homework and i always get 10/10 marks. :nerd: itakua vuuu bin vuu!
Mhh! More interesting....mimi na kimo cha Emolo wewe na watu warefu wapi na wapi?? Anyway...5 days ukishindwa ndo umeshindwa jumla jumla
Mwali ile style alileta shemeji yako unadhani nina hamu ya style nyingine yoyote?
Hadi ndototoni nilitaka missionary. Alafu hivi mara ya kwanza una ubavu wa kutumia
style zaidi ya traditional? Labda nikimuota tena tutabadilisha.
I lyk challenges. alafu watu wafupi na wenye vifaa vidogo sana wapo hodari sana upande wa SEX.
sabb mara nyingi wapo insecure ni lazima aoneshe uhodari hivo anajituma sana. Hizo five days umenipa
ni nyingi sana. napenda challenges, hata EMT nilimwambia hua nazikimbilia. Leo ni Mon. By sat tutakua
tunawakaribisha wana jf kwenye warm up party yetu ya kwanza kama kapo. sio mke na mme, nooooo ila galfie na boyfie.
Naona hii week hii ni yangu!! Baada ya kupita majaribu na boyfie mambo yamenigeukia tena.
Kwanza inabidi mjue kua alikua hayupo kasafiri karibu miezi miwili na tukajeruhiwa kabla
ya kuridhisha nafsi ma miili yetu. Alipokuja ndio hapo alipokuja
na style ya kuumiza viungo na kutufanya hamu yote iishe. Jana nimejisikia Uchovu mwili mzima
nikapumzika kwenye sofa sebuleni huyoo nikapitiwa na usingizi. Nilipoamka ghafla nikanyanyuka
huyo hadi chumbani, nikavua nguo , nikaenda kuoga na kuamua nitoke Out yap eke yangu kwa
nikapate mbili tatu kwa ajili ya kupoteza mawazo na maumivu tokana na style bubu.
Mungu si Juma wala si Athumani baada ya kunywa akajitokeza kaka na kusogea karibu yangu pale
kuomba aninunulie kinywaji, nikamwambia nimetosheka kama anaweza twende on the dance floor tucheze
muziki. Aka Smile na kukubali, aliposmile ndio nikaona wazi kua he is cute in a mannish way.
Baada ya mazungumzo ya dakika moja kanichekesha vya kutosha hao tukaenda kucheza. Sikumbuki kitu.
Naomba msinijaji, kitu pekee nakumbuka ni kua wakati tunacheza niligundua ana strong arms. I like that.
Lililofuata hapo ni kua najishtukia tupo nae kitandani tupo Kokrochi death na ndio kwanza nimepandisha mlima na
cumming like neva b4. Mwili wote hauna nguvu, I feel like a baby na mwepesiiiii. Mara mlango unafunguliwa kwa Nguvu!
Boyfie kaingia na kutukuta hivo ndio kwanza hata kuachiana bado.. Nampenda sana, najishangaa
imekuaje nimemsaliti??!! Roho inanilipuka!! Nakurupuka kama vile nimetoka usingizini! Roho inaenda mbio!!
Kuangalia vizuri na pale pembeni nakuta boyfie bado kalala hana habari nan i usiku wa manane.
Kumbe nilikua naota labda tokana na genye nyingi nilizo nazo. Lakini najisikia kabisaaa kama vile nimetoka
kufanya na nimeamka lakini bado najisikia mwepesi na nimeshiba. I touch myself naona kama vile nimetoka
kufanya hakuna ubishi. I look at my boyfie, I feel guity.
I feel guilty sababu kwa kweli yule stranger wa usingizini was good, nilitamani ndoto isiishe iwe milele.
Nisaidieni jamani hio sawa na Kucheat?
No mwaaaah, am confused. :decision:
Haya bwana ngoja tuone lakini naona umeshindwa kabla hata ya kuanza
Mhhhh! haya bana angalia usiumie tena bega ndotoni ππ wakati unajaribu tena style nanihii ππ inadaiwa umeikamia mpaka uiweze LOL!...ndoto ni ndoto ingekuwa tunauwezo wa kuchagua ndoto gani tuziote mbona ingekuwa raha...Kwa maoni yangu hujacheat hata chembe sema tu umezidiwa nananihii UH++++ ππ kwa kuwa kifaa kiko juu ya mawe hahahaha lol! kazi unayo maana hata week haijaisha ππ sasa fikiria mpaka June mwanzoniiiiiii LOL!