Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Ulipo niuliza eng nilijua ulimaanisha na kweli hukujua. Kuna koment moja uliniumiza nayo nikapotezea sredi iliyopita.
Na leo sikuipenda ile post yako ya kufika bei hali nimekwambia ni ndoto. hata hivo acha kupotezea.
kama nilivo sema ni too late. nitakua nakutembelea mara kwa mara. teh teh teh.
Utanitembelea wapi sasa? Kazi ipo,lol! Karibu kama utaweza ila ni ngumu kweli, haaahaaa!