Hadaa ziinazofanyika na ulaghai wa mama anaupiga. Mwingi ni kwasababu watu wanakula kulingana na urefu wa kamba yao

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,977
Reaction score
4,912
Ukiona raisi anasifuwa na kutangazwa kila kona ya nchi na machawa , wafanyabiashara ku print nguo zake na kupa zawadi mbalimbali za upngozi bora ujue nchi hiyo inaelekea kuangamia

Wote mnaona yale wanayoyasema mama kaupiga mwingi ni yapi

Vituo vya afya ameacha amejenga JPM kila mkoa

Sgr nyotemmeonaJPM ameiacha tayari inakamilika

Daraja la Busisi bila kuanzishwa na JPM asingeweza kukamilisha aibu zilimfanya amalizie

Kwa sasa sgr imelala kifo cha mende kila ukipita wanakwambia serikali haijatoa hela hadi sasa.

Mtu anayesema mama kafanya makubwa ayataje hapa tuyaone zaidi ya kusikia
Mapori yameuzwa

Mkataba tata wa Dp world

Uagizaji wa sukari usiozingatia sheria
Wasiojulikana kupoteza kila anayekosoa serikali

Chama cha upinzani kufanyiwa figisu na kupelekea mwenyekiti wake kusalia mahabusu
Kutengeneza wapinzani vivuli vya ccm ambao ni Act wazalendo na CHAUMMA.
utakatishaji wa fedha kupitia ya kitu kinachoitwa harambee n.k

Amini nawaambia kama huyo mnayemuita mama ataongoza tena miaka mitano mjue hakuna bunge litakalomkosoa kwani wote wanaoenda bungeni ni kundi la mtandao. Nchi inaenda. Kuumia zaidi yale mambo unanijuwa mimi ni nani yataanzia kwa mwenyekiti wa mtaa hadi taifa ,tujiandae kulia huko mbeleni ni kugumu sana

Kwa. Kimalizia msitegemee hao wafanyabiashara kuja kulipa kodi stahiki tena. Kutokana na michango waliyoitoa pale mlimani city serikali itakuwa haina meno vimemo ndivho vitafanya. Kazi zaidi.
 
Hiyo ipo wazi. Ndio maana Mpina ameumia sana. Kuona watu makini wakitupwa nje ubunge halafu machawa wanapewa kipaumbele.
 
Ukiona raisi anasifuwa na kutangazwa kila kona ya nchi na machawa , wafanyabiashara ku print nguo zake na kupa zawadi mbalimbali za upngozi bora ujue nchi hiyo inaelekea kuangamia
Wote mnaona yale wanayoyasema mama kaupiga mwingi ni yapi
Vituo vya afya ameacha amejenga jpm kila mkoa
Sgr nyotemmeona jpm ameiacha tayari inakamilika
Daraja la busis bila kuanzishwa na jpm asingeweza kukamilisha aibu zilimfanya amalizie
Kwa sasa sgr imelala kifo cha mende kila ukipita wanakwambia serikali haijatoa hela hadi sasa.

Mtu anayesema mama kafanya makubwa ayataje hapa tuyaone zaidi ya kusikia
Mapori yameuzwa
Mkataba tata wa Dp world
Uagizaji wa sukari usiozingatia sheria
Wasiojulikana kupoteza kila anayekosoa serikali
Chama cha upinzani kufanyiwa figisu na kupelekea mwenyekiti wake kusalia mahabusu
Kutengeneza wapinzani vivuli vya ccm ambao ni Act wazalendo na CHAUMMA.
utakatishaji wa fedha kupitia ya kitu kinachoitwa harambee n.k
Amini nawaambia kama huyo mnayemuita mama ataongoza tena miaka mitano mjue hakuna bunge litakalomkosoa kwani wote wanaoenda bungeni ni kundi la mtandao. Nchi inaenda. Kuumia zaidi yale mambo unanijuwa mimi ni nani yataanzia kwa mwenyekiti wa mtaa hadi taifa ,tujiandae kulia huko mbeleni ni kugumu sana
Kwa. Kimalizia msitegemee hao wafanyabiashara kuja kulipa kodi stahiki tena. Kutokana na michango waliyoitoa pale mlimani city serikali itakuwa haina meno vimemo ndivho vitafanya. Kazi zaidi.
Wewe ni poyoyo. Inatosha kusema hivyo. Wewe huoni hata zahanti, shule au barabara ukitoka nje ya pango lako?.Unaishi kwenye pango mwenzetu? Utaratibu wa kuchangisha fedha za kampeni upo duniani kote. Michango ya tonetone mpaka leo hatujapewa mapato na matumizi.
 
Mhuni ametoka pangoni 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom