Tetesi: Hadhi (status) ya VODACOM imeshuka hapa nchini. Wanahama kutoka Mlimani City kwenda Kinondoni

Tetesi: Hadhi (status) ya VODACOM imeshuka hapa nchini. Wanahama kutoka Mlimani City kwenda Kinondoni

wakepa kodi sasa wanabadilisha muonekano
 
Mtoaada je umeo majengo ya kisasa yanayoshushwa kinondoni au mgeni na darisalaama hebu pita pale morocco kuna majengo hatari. Kwanza nikuulize morrocco na kule porini mliman city wapi mjini? Na wapi kuna hadhi sikulaumu ttz umeakuja dar juzi akili yako inajua mlimani city ndio dubai
Acha kufananisha Mlimani City na vitu vya kijinga
 
hadhi imeshuka si kwenye mijengo mikubwa tu ata bei zao sikuizi hazieleweki mtandao wao umeshuka sana speed ya 3G au 4G (wcmda) nisawa na (gsm) ya halotel
 
Huwezi kuanika mawasiliano ya wateja wako hadharani alafu ukaendelea kubaki kileleni, wakitoka kinondoni wataelekea Tandale,


Mark my words!
na wakitoka hapo watahamia matejoo
 
Kuna majengo mapya yamejengwa barabaraba ya bagamoyo kuanzia moroco hadi victoria sheli, moja ya majengo hayo ndio vodacom wanahamia. Mlimani city kuna mtu ameweka proposal anataka kuinunua
 
Inawezekana mtoa mada ni meneja masoko wa Tigo/Airtel/Halotel
Yawezekana unayosema ni kweli maana imemlazimu kufungua akaunti mpya hapa JF juzi Jumanne na jana Jumatano ndio akatuma hii thread
 
Tofauti na mada, au hapa ndo tayar umejadili?
Mada inaongea nn kama sio mambo ya jengo na mm nimejibu km mtoa mada anaona mliman city ndio jengo la hadhi aende morocco pale kuna majengo hatar amabapo voda watahamia akimaanisha kinondoni maana yake ni morrroco na sio kinomdoni ufipa
 
Sio hadhi imeshuka bali imepata director mwenye akili za ziada ni bora hata wahamie manzese ili waweze kujenga jengo lao, kuna garama ambazo zinakwepeka, yule mwingine aliingia mkataba wa kudhamini miss TZ miaka 5, akaja mwenzake akatengua ule mkataba, na huyu nae lazima achue mambo mazuri ya hovyo ayaache.
 
Mtoaada je umeo majengo ya kisasa yanayoshushwa kinondoni au mgeni na darisalaama hebu pita pale morocco kuna majengo hatari. Kwanza nikuulize morrocco na kule porini mliman city wapi mjini? Na wapi kuna hadhi sikulaumu ttz umeakuja dar juzi akili yako inajua mlimani city ndio dubai
We itakua uko Voda,si kwa povu hilo
 
Hata mlimani city ni kinondoni. Sio tatizo kutoka kinondoni kwenda kinondoni...
 
Mkuu, mbele ya Magu , hakuna hadhi kushuka. Hata mimi ninatarajia kuhama kwenye hili bangaloo ninalokaa nikarudi kupanga chumba kimoja kama enzi zile wakati namaliza chuo maana kodi imeshakuwa ni tatizo hapa mjini
 
  • VODACOM walifika hapa mwaka 2000 wakiwa hawana mteja hata mmoja na kwa mtaji wao wakapanga kwenye jengo lenye status kuliko majengo yote hapa nchini likiitwa PPF Tower lililoko kwenye kona ya mtaa wa Ohio na Garden.
  • Humo PPF Tower walichukua floor si chini ya nne.

  • Mwaka 2009 wakaweza kuongeza jengo jingine kule barabara ya Ali Hassan Mwinyi karibu na kituo cha mafuta cha Victoria, jengo linaitwa RDK. Hili lilikuwa ni jengo la ziada kwani makao makuu yalibaki palepale PPF Tower.

  • Pale Mwanza wakapanga PPF Plaza nalo lina hadhi Mwanza nzima. Hata kule Arusha hawakuchukua eneo au jengo
    la kichovu.

  • MLIMANI CITY MALL imeanzishwa mwaka 2006 mwishoni ikiwa ni supermarket yenye hadhi kubwa si Tanzania tu bali Afrika Mashariki.

  • Katika majengo manne ya pale MLIMANI CITY PARK, TANZANIA INVESTMENT BANK ndiyo imechukuajengo moja tu (Building 3) lakini mengine yote matatu yaliyobaki (Building 1, 2 and 4) yalichukuliwa na VODA mwaka 2010 mwishoni na wamo humo hadi dakika hii.

  • Sasa kuna tetesi kwamba VODACOM wanahama sehemu nzuri kuliko zote yaani MLIMANI CITY wanaendamaeneo ya KINONDONI ingawa sijathibitisha tetesi hizo!

  • Ukweli ni kwamba kadiri binadamu unavyobadili “lifestyle” basi na status yako itaonekana. Walipohama PPFTOWER kwenda MLIMANI CITY, hapa status iliongezeka.

  • Leo wanahama kutoka MLIMANI CITY kwenda KINONDONI, haya ni maeneo mawili tofauti kabisa kihadhi.

  • Mlimani CITY VODA ilikuwa imechukua parking karibu eneo loote lile mnalojua linalotazamana na barabara yaSAM NUJOMA. Kinondoni ni eneo linalojulikana kwa ukosefu wa Parking .

  • Bila ubishi hapa hadhi imeshuka,maana yake waendesha magari ndani ya VODA wamepungua, bila kujali ni magari yao au ya kampuni.

  • Sasa tujadili ilichobadilika ni hadhi ya sasa ya VODA. Wakati VODA inapanga vile tangu PPF TOWER na baadaye wakaenda MLIMANI CITY management walikuwepo wazungu.

  • Sasa hivi kwenye management ukiangalia asili ya wahindi imeongezeka na bosi wao mkubwa unaona kama ni mhindi vilevile.

  • Ukweli ni kwamba yapo mengi ya kuonyesha kwamba hadhi inashuka, unaweza kuongezea unayoona wewe.

  • Na kama hadhi imepanda unaweza kunipinga.
by this time next year watakuwa Tandale. Mark my words
 
Back
Top Bottom