Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashangaa voda,shangaaa chadema chama kikuu na taswira ya upinzani Tanzania wanakaa kwenye makao makuu ni vyumba vitatu na sebuleKampuni kubwa kama VODACOM wameshindwa kujenga jengo lao wenyewe mpaka wapange kila siku? Wanapeleka wapi hela zetu?
hela zenu? zao?Kampuni kubwa kama VODACOM wameshindwa kujenga jengo lao wenyewe mpaka wapange kila siku? Wanapeleka wapi hela zetu?
Zetu. Zipo nyingi wanatuibiahela zenu? zao?
Hili linazidi kuwa tatizo kubwa la Jamii forum. Mtu anaandika mambo mengi sana juu ya hisia au uongo wa kutunga.Kuna haja gani ya kukimbilia kuandika kitu ambacho hata uhakika nacho huna? Hujui kuwa status iliyojengwa kwa miaka mingi unaweza kuiharibu bila ushahidi kwa sekunde tu? Tusicheze na kazi za watu.
Acha uongo mkuuMlimani city watahama wengi sana , huwezi kulazimisha wapangaji kuweka picha ya Makonda .
Uko uzi humu jf uliojaa ushahidi .Acha uongo mkuu