Tetesi: Hadhi (status) ya VODACOM imeshuka hapa nchini. Wanahama kutoka Mlimani City kwenda Kinondoni

wakepa kodi sasa wanabadilisha muonekano
 
Acha kufananisha Mlimani City na vitu vya kijinga
 
hadhi imeshuka si kwenye mijengo mikubwa tu ata bei zao sikuizi hazieleweki mtandao wao umeshuka sana speed ya 3G au 4G (wcmda) nisawa na (gsm) ya halotel
 
Huwezi kuanika mawasiliano ya wateja wako hadharani alafu ukaendelea kubaki kileleni, wakitoka kinondoni wataelekea Tandale,


Mark my words!
na wakitoka hapo watahamia matejoo
 
Kuna majengo mapya yamejengwa barabaraba ya bagamoyo kuanzia moroco hadi victoria sheli, moja ya majengo hayo ndio vodacom wanahamia. Mlimani city kuna mtu ameweka proposal anataka kuinunua
 
Inawezekana mtoa mada ni meneja masoko wa Tigo/Airtel/Halotel
Yawezekana unayosema ni kweli maana imemlazimu kufungua akaunti mpya hapa JF juzi Jumanne na jana Jumatano ndio akatuma hii thread
 
Tofauti na mada, au hapa ndo tayar umejadili?
Mada inaongea nn kama sio mambo ya jengo na mm nimejibu km mtoa mada anaona mliman city ndio jengo la hadhi aende morocco pale kuna majengo hatar amabapo voda watahamia akimaanisha kinondoni maana yake ni morrroco na sio kinomdoni ufipa
 
Sio hadhi imeshuka bali imepata director mwenye akili za ziada ni bora hata wahamie manzese ili waweze kujenga jengo lao, kuna garama ambazo zinakwepeka, yule mwingine aliingia mkataba wa kudhamini miss TZ miaka 5, akaja mwenzake akatengua ule mkataba, na huyu nae lazima achue mambo mazuri ya hovyo ayaache.
 
We itakua uko Voda,si kwa povu hilo
 
Hata mlimani city ni kinondoni. Sio tatizo kutoka kinondoni kwenda kinondoni...
 
Hivi walitoaga ushahidi mahakamani au?
 
Huwezi kuanika mawasiliano ya wateja wako hadharani alafu ukaendelea kubaki kileleni, wakitoka kinondoni wataelekea Tandale,


Mark my words!

Jmnwahamie manzese duhhhhh
 
Mkuu, mbele ya Magu , hakuna hadhi kushuka. Hata mimi ninatarajia kuhama kwenye hili bangaloo ninalokaa nikarudi kupanga chumba kimoja kama enzi zile wakati namaliza chuo maana kodi imeshakuwa ni tatizo hapa mjini
 
by this time next year watakuwa Tandale. Mark my words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…