Sumti
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 2,342
- 2,193
Mbona ilichokonolewa kabla hata hajavuliwa hadhi??Naona hiyo ya pili Slaa ameanza kuchokonolewa.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ilichokonolewa kabla hata hajavuliwa hadhi??Naona hiyo ya pili Slaa ameanza kuchokonolewa.
Mrembo unajibu hoja za kitalam sana.Unalipwa mshahara hadi mauti
Una kinga ya kutoshitakwa
Jaribuni kuwa mnachangia vitu visivyowaaibisha!Unalipwa mshahara hadi mauti
Una kinga ya kutoshitakwa
Uncle wake na Cardinal Protase Rugambwa huyo.Umesahau kuwa kuna Mzee mmoja sasa ni Marehemu alipoitwa Balozi alikataa kwa kusema kuwa, unaitwa Balozi ukiwa unamwakilisha Rais na baada ya hapo, si sahihi kuitwa Balozi. Ni Marehemu Andrew Tibandebage ambaye alikuwa rafiki kipenzi wa Mwalimu Nyerere.
Unakuwa "Persona non grata"Kuyo shitakiwa ni ukiwa Balozi kwenye nchi husika, wanacho fanya wana kufujuza unakuja kushitakiwa kwenye nchi yako,
Sisi wa tz shida sana, tunapenda titles hadi inakera. Tulipokuwa wadogo title tulio ijua ni dr anaetibu. Baadae tukajifunza kuna dr wa mifugo duniani (siyo uk), halafu dr wa kusoma phd. Balaa lika anzia hapo, huko afya kila mtu akaanza kuitwa dr. Hujui dr wa kweli ni yupi bola liende. Ghafla bin vuu viongozi wetu wakawa wanatunukiwa degree za heshima (honoris causa)- Mwalimu akazikusanya za kutosha lakini hakupenda kuitwa dr. Nyerere. Wakafuata wengine kwa staili hiyo hiyo Mwinyi na Mkapa, alipoingia Kikwete yeye akakubali kuvumisha u dr wake. Magufuli alikuwa na phd(udsm), sasa awamu hii mama hakutaka kuachwa mbali na tuna Dr. Suluhu na hiyo title anaipenda sana. Magufuli kama sikosei (au ni kikwete) ndio akatuletea mabalozi wa nchi kavu (sauti ya Mpango) yaani ubalozi ukawa ni title na cheo hata kama hujatumwa nje kumuwakilisha raisi. Kijazi nae aliporudi kuwa katibu mkuu kiongozi ikazalisha style ya kuwaita hawa waheshimiwa mabalozi ndio tukampata balozi dr. Bashiru na sasa balozi dr kusiluka. Huko foreign wako wengi ambao ni mabalozi wa "nchi kavu". Ubalozi ndio huo. Kwenye professions nyingine nako hakuja lala badala ya mr. Hamza ambae ni engineer sasa tuna Eng. Hamza, mhasibu mwenye Cpa sasa ni CPA Hamza. Hayo ndiyo maisha yetu watanzania. Tutaona mengi.Tanzania tuna sifa za kijinga sana,na hii ni Kwa sababu ya uelewa wetu mdogo watz.watu wanapenda kuitwa wastaafu
Mabalozi wa Nchi kavu ! 🙄😱Sisi wa tz shida sana, tunapenda titles hadi inakera. Tulipokuwa wadogo title tulio ijua ni dr anaetibu. Baadae tukajifunza kuna dr wa mifugo duniani (siyo uk), halafu dr wa kusoma phd. Balaa lika anzia hapo, huko afya kila mtu akaanza kuitwa dr. Hujui dr wa kweli ni yupi bola liende. Ghafla bin vuu viongozi wetu wakawa wanatunukiwa degree za heshima (honoris causa)- Mwalimu akazikusanya za kutosha lakini hakupenda kuitwa dr. Nyerere. Wakafuata wengine kwa staili hiyo hiyo Mwinyi na Mkapa, alipoingia Kikwete yeye akakubali kuvumisha u dr wake. Magufuli alikuwa na phd(udsm), sasa awamu hii mama hakutaka kuachwa mbali na tuna Dr. Suluhu na hiyo title anaipenda sana. Magufuli kama sikosei (au ni kikwete) ndio akatuletea mabalozi wa nchi kavu (sauti ya Mpango) yaani ubalozi ukawa ni title na cheo hata kama hujatumwa nje kumuwakilisha raisi. Kijazi nae aliporudi kuwa katibu mkuu kiongozi ikazalisha style ya kuwaita hawa waheshimiwa mabalozi ndio tukampata balozi dr. Bashiru na sasa balozi dr kusiluka. Huko foreign wako wengi ambao ni mabalozi wa "nchi kavu". Ubalozi ndio huo. Kwenye professions nyingine nako hakuja lala badala ya mr. Hamza ambae ni engineer sasa tuna Eng. Hamza, mhasibu mwenye Cpa sasa ni CPA Hamza. Hayo ndiyo maisha yetu watanzania. Tutaona mengi.
Sawa ila niweke sawa ni BABA Mkubwa na CardinalUncle wake na Cardinal Protase Rugambwa huyo.
Mwalimu Nyerere,alikuwa hawachekei wanaotaka kuburuga amani,hata kama militafuta uhuru pamoja,chamoto atakuonyesha tu,huyu alimuogopa Mwalimu Nyerere,Kambona alikuwa waziri,lakini alikimbia nchi na uwaziri wake,alipotaka kuuruga amani.Umesahau kuwa kuna Mzee mmoja sasa ni Marehemu alipoitwa Balozi alikataa kwa kusema kuwa, unaitwa Balozi ukiwa unamwakilisha Rais na baada ya hapo, si sahihi kuitwa Balozi. Ni Marehemu Andrew Tibandebage ambaye alikuwa rafiki kipenzi wa Mwalimu Nyerere.
Mwalimu Nyerere,alikuwa hawachekei wanaotaka kuvuruga amani,hata kama walitafuta uhuru pamoja.Kambona alikimbia nchi,akiwa waziri,na wengine wengi chamoto walikiona.Mama inapaswa atambue kuwa hadhi na vyeo vya kibinadamu ni ubatili mtupu sababu hapa duniani sisi wana wa Adamu tu wapitaji tu...
Hata uitwe Rais wa marais au wana wa Adamu wote, ipo siku utaitwa jina moja sawasawa na kapuku aliyekuwa hajulikani juu ya jamii ya watu...
Balozi ana shtakiwa vizuri tu kama akifanya jinai na ishawahi tokea nyuma na hata kwa Slaa mwenyewe kabla hajavuliwa hiyo hadhi...
Watanzania mu watu wa hovyo sana! Muwe mnauliza basi kwanza!! Kinyaa!Unalipwa mshahara hadi mauti
Una kinga ya kutoshitakwa
Unaota nadhani! Mzee Tibandebage au mtu mwingine???? Mzee Tibandebage ampinge Nyerere!!!!!! We acha hizo. Kama hujui kitu nyamazaMwalimu Nyerere,alikuwa hawachekei wanaotaka kuburuga amani,hata kama militafuta uhuru pamoja,chamoto atakuonyesha tu,huyu alimuogopa Mwalimu Nyerere,Kambona alikuwa waziri,lakini alikimbia nchi na uwaziri wake,alipotaka kuuruga amani.
Naye alivuliwa ubalozi na jk na magufuli akamrudishia hadhi yake ya ubaloziKutoshitakiwa nadhani sio sahihi, nakumbuka Prof Mahalu aliyekuwa balozi Italy aliwahi kushitakiwa kwa ufisadi wakati wa JK
Naye alivuliwa hadhi ya ubalozi na jk jpm akamrudishia hadhi yakeKweli, lakini kutoshtakiwa ni pale anapokuwa nje ya nchi tu. Ndani unashtakiwa tu. Kumbuka Kesi ya Balozi Professor Costa Mahalu!
Aliondolewa kwanza hadhi ya ubalozi ndiyo akashtakiwa.JPM alivyoingia madarakani akamrudishia hadhi ya ubalozi tenaKutoshitakiwa nadhani sio sahihi, nakumbuka Prof Mahalu aliyekuwa balozi Italy aliwahi kushitakiwa kwa ufisadi wakati wa JK
Niweke sawa zaidi ni baba mkubwa wa Cardinal.Sawa ila niweke sawa ni BABA Mkubwa na Cardinal