Hadhi ya Mwanza na majiji mengine ipo wapi? Tukisema hizi ni dharau tunakosea? Bajeti na mikopo ni kwajili ya miradi ya Dar na Dodoma?

Mwanza na Kanda ya ziwa subirini kwanza maana baba yenu aliwajengea Barabara la ziwani badala ya mabarabara ya mitaani.
 
Unakosea sehemu ndogo sana; kubuni na kutekeleza ni vitu viwili tofauti sana. Halafu kutotekeleza mradi uliokwisha anza na kuuacha ufe ni jambo baya zaidi.

Nakumbukua Hospitali ya Musoma baada ya Nyerere kuondoka madarakani ilitelekezwa kwa miaka takriban 30 ndipo Magufuli akaifufua. DAR airport iliyobuniwa na Kikwete ila akaacha mradi ukiwa taabani sana, kiasi kuwa iwapo magufuli asingebana spana sehemu nyingine, leo hii tungekuwa na nusu majengo tu kwani mradi ule ulikwisha simama tanagu mwaka 2014. Kula list ndefu sana ninaweza kukuwekea kuonyesha kuwa pamoja na mapungufu yake, Magufuli alikuwa bora sana katika kusimamia ujenzi wa miradi ya kitaifa
Miradi yote niliyo sema hapo yote imetekelezwa na kikwete barabara nyingi za mikoani zimejengwa na kikwete hata mradi wa umeme vijijini umebuniwa na kutekelezwa na kikwete 2012 magufuri hana mchango wowote kwenye mradi wa umeme vjijini mpaka magufuri anaingia madarakani mwaka 2015 vijiji vingi sana vilikuwa vimeunganishwa umeme kikiwemo kijiji ninacho zaliwa mm, na vijiji vingine ambavyo vilikuwa havijaungwa tiyari wakadarasi walikuwa wamesha lipwa na vifaa vilikuwa vimesha nunuliwa kilicho kuwa kinasubiliwa ni vifaa kutoka viliko nunuliwa vije vifanye kazi iliyo kusudiwa.
Kusema hivyo simaanishi Magufuri hajafa chochote kafanya mengi mazuri lakini tuache kumvika sifa ambazo wanasitahili watu wengine.
 
wewe ulikuwa unaishi nchi tofauti kabisa na Tanzania wakati Bunge lilipolazimika kwa mara ya kwanza kupitisha supplementary budget ya Ikulu ya Kikwete.
 
HERI YEMU NYINYI JIJI LA TANGA NDIO LIMESAHAULIKA KABISAA SERIKALI HAINA HATA MUDA NAYO, HATA BARABARA YA KM 1 TU HAIJAWEKEWA😢
 
Nimefurahishwa ongezeko la bajeti kwenye upanuzi wa kipande cha barabara kutoka Igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe., km 218.
Barabara hii ina uhusiano wa karibu na Bandari ya Dar es salaam na bandari nyingine zote za bahari ya hindi.
Barabara hii imezidiwa sana na shehena zinazo safirishwa kwenda nchi za kusini.
Serikali iongeze kasi ya ujenzi wa kipande hicho na ikibidi barabara yote toka Kibaha mkoani Pwani mpaka Tunduma boda ili kuongeza ufanisi wa bandari zetu.
 
Miradi yote niliyo sema hapo yote imetekelezwa na kikwete barabara nyingi za mikoani zimejengwa na kikwete hata mradi wa umeme vijijini umebuniwa na kutekelezwa na kikwete 2012 magufuri hana mchango wowote kwenye mradi wa umeme vjijini mpaka magufuri anaingia madarakani mwaka 2015 vijiji vingi sana vilikuwa vimeunganishwa umeme kikiwemo kijiji ninacho zaliwa mm, na vijiji vingine ambavyo vilikuwa havijaungwa tiyari wakadarasi walikuwa wamesha lipwa na vifaa vilikuwa vimesha nunuliwa kilicho kuwa kinasubiliwa ni vifaa kutoka viliko nunuliwa vije vifanye kazi iliyo kusudiwa.
Kusema hivyo simaanishi Magufuri hajafa chochote kafanya mengi mazuri lakini tuache kumvika sifa ambazo wanasitahili watu wengine.
Umeme vijijini uliasisiwa wakati wa Kikwete, lakini vijiji vingi viliwekwa umeme wakati wa Magufuli.

Kikwete - Vijiji 2000+
Magufuli - Vijiji 7000+
Samira - Vijiji 2000+ ongezea na vitongoji vyote vilivyowekwa umeme vimewekewa wakati wa Samia.
 
Kama huijuia basi hata nikikwambia hutaijua. Kuanzia meli Ziwa Tanganyika, Meli Ziwa Nyasa, Badarabara za lami mikoani, umeme vijinini, viwanja vya ndege mbeya, Sumbawanga, Musoma, Mtwara, Dodoma na kadhalika. SGR, Bwawa la Umeme la Nyerere hata nashindwa kumaliza yote.

Uwanja wa chato ulimulikwa sana kwa vile ni kwao, uwanja ule ulikuwa ujengwe sehemu yoyote Geita, hasa Geit mjini, lakini yeye akaupeleka kwao ambalo halikuwa jambo zuri, lakini kuna viwanja vingine vilivyojengwa mikoania ambavyo havikupata exposure kubwa vile.
hapa alibugi uwanja wa chato ungejengwa Mwanza sasa hivi tungeongea mambo mengine
 
Back
Top Bottom