#COVID19 Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

#COVID19 Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

Corona na chanjo zake ni kiini macho, kinacholengwa hapo ni ku restrict access and movement of people, kutengeza a global economic catastrophe ambayo itafanya nchi nyingi hasa zinazoendelea kuwa reliant kwa mabeberu ambao watawasaidia kwa masharti kibao kama tulivyoanza kushuhudia hapa kwa chifu hangaya. Hizi ni calculated moves zinazofanywa na mawakala wa ibilisi kwenye ulimwengu wa giza.....tujiandae kisaikolojia huenda tumeingia kweye msimu mpya wa maisha, huenda ikawa ni kipindi cha kuelekea mwisho wa ulimwengu.​
unachokiongea unakijua au unakulupuka tyu mkuu. tupe ushahidi na utuambie hyo mipango ya ibilisi umeijuaje??????? au we ndio ibilisi mwenyewe?????
 
China wao juzi hawakuwa na ambukizi hata moja, , , hizi vitu vinategemea na immunities za jamii husika, inaonekana kwa hapa bongo, wananchi wengi wametengeneza immunity dhidi ya covid kwa kiasi kikubwa, wala tusimsingizie sijui mungu ndo anaepusha, baada ya watanzania eti kusali sana, , sala haziondoi ugonjwa, ,
Utakuta kila wave nyingine ikija, kwa TZ haimalizi miezi mitatu watu wanakua wameshajenga resistant dhidi ya strain husika, , lakini haina maana kuwa watu hawaugui ana kufa kwa covid nchi hii
Mazingira ya Kenya hayana tofauti na yetu.ila wao wanapigwa.vipi hapo?
 
Back
Top Bottom