milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Mitano Tena!
Zanzibar imepata wapi fedha
Zanzibar imepata wapi fedha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitano tenaMnaijua Dubai?
Vitu vidogo sana hivyo hizo kota fika magomeni hapo ushangaeshangae kidogoMitano Tena!
Zanzibar imepata wapi fedha🥺
Dubai ya Chunya kabisaLabla Dubai ya Mbalizi - Mbeya
Huu ni ujinga uliotopea jinga jinga jinga tembeaaaa sio umekaa tu hapo mlandizi shenziTanganyika tuko 60+ million,ila kule Kuna watu 1.5 million,ila wametuzidi akili😂
Wanapata wapi fedha????Vitu vidogo sana hivyo hizo kota fika magomeni hapo ushangaeshangae kidogo
Mitano Tena,🤣Huu ni ujinga uliotopea jinga jinga jinga tembeaaaa sio umekaa tu hapo mlandizi shenzi
Pumbavu kabisa wewe hujui kitu nenda kaombe report ya mapato yao kwa mwaka ndio utaelewa wanapotoa pesaWanapata wapi fedha????
Wanauza madini Gani?
Wanahifadhi za wanyama?
Wanalima kilimo Gani?
Pumbavu kabisa wewe hujui kitu nenda kaombe report ya mapato yao kwa mwaka ndio utaelewa wanapotoa pesa
Safi sana Hii ni salamu kwa MATANGANYIKA MAPUMBAVU YALIYOAMUA KUUZA NCHI KWA TENDE NA HALUWA....🤣🤣🤣 Ningekuwa mimi ndo Samia ningetumia asilimia 10 ya mapato ya bara bya kila mwezi kuijenga Zanzibar!!