Hadi 2030, Zanzibar itakuwa kama Dubai!!

Hadi 2030, Zanzibar itakuwa kama Dubai!!

Dubai unaijua au unaisikia kwenye TikTok. Dubai na Zanzibar ni mbingu na ardhi. Labda Zanzibar inawezajitahidi kuifukuzia Mwanza na si Dubai
Ni tajie sehemu yoyote mwanza yenye kua na maghorofa kama hayo?
 
Sidhani katika dunia hii kuna nchi imejaa mazezeta kama Tanganyika! Tunatawaliwa na Raia wa kigeni na wenyewe tumetulia na ndiyo kwanza tunamsifia mtawala.
 
Back
Top Bottom