Hadi 2030, Zanzibar itakuwa kama Dubai!!

MATANGANYIKA MAPUMBAVU YALIYOAMUA KUUZA NCHI KWA TENDE NA HALUWA....🤣🤣🤣 Ningekuwa mimi ndo Samia ningetumia asilimia 10 ya mapato ya bara bya kila mwezi kuijenga Zanzibar!!

Samia anastahili pongezi kwa ajili ya wajinga waliolala usingizi wa pono na kuimba sifa eti Mama anaupiga mwingi.

Samia chota noti hazina jenga Zanzibar, MAPUMBAVU BARA yamelala usingizi!!!

Ongeza kabla ya uchaguzi teua IGP, Director wa TISS,Jaji Mkuu, Kamishna General wa Uhamihaji wote kutoka Zanzibar!!

Tunyooshe,TUNYOOSHE,TUNYOOSHE,TUNYOOSHE MAMA!!

🙏🙏🙏🙏🙏🚴🚴
Wapo wamepiga kambi kwa Kabendera wanapambana na adui yao Magufuli subiri kwanza wakimaliza 2030 mapambano wataanza kufikiri Tanganyika.
 
mkuu hizo nyumba si hata Magomeni na Mbagala zipo, sasa na Zanzibar zikijengwa shida iko wapi?
 
Katiba yetu sijui ikoje - yaani una marais wawili afu wote wanatoka upamde mmoja wa muungano...laah
 
Wanapata wapi fedha????
Wanauza madini Gani?
Wanahifadhi za wanyama?
Wanalima kilimo Gani?
Mama ameongeza mgao wa pesa za mkopo na misaada yote kutoka nje, toka 4% mpaka 19%. Lakini mlipaji wa mikopo yote ni Tanganyika.

Watu wapo 3.3% ya population yote ya TZ lakini mgao wapesa za misaada na mikopo wanapewa 19%!! Kwa nini Zanzibar isibadilike?
 
Safi sana Hii ni salamu kwa MATANGANYIKA MAPUMBAVU YALIYOAMUA KUUZA NCHI KWA TENDE NA HALUWA....🤣🤣🤣 Ningekuwa mimi ndo Samia ningetumia asilimia 10 ya mapato ya bara bya kila mwezi kuijenga Zanzibar!!

Samia anastahili pongezi kwa ajili ya wajinga waliolala usingizi wa pono na kuimba sifa eti Mama anaupiga mwingi.

Samia chota noti hazina jenga Zanzibar, MAPUMBAVU BARA yamelala usingizi!!!

Ongeza kabla ya uchaguzi teua IGP, Director wa TISS,Jaji Mkuu, Kamishna General wa Uhamihaji wote kutoka Zanzibar!!

Tunyooshe,TUNYOOSHE,TUNYOOSHE,TUNYOOSHE MAMA!!

🙏🙏🙏🙏🙏🚴🚴
Zanzibar ni sehemu ya Muungano!! What's wrong?
 
Mbona Tanzania Bara pia Kuna maendeleo makubwa awamu hii.
Tanzania visiwani imeamua kujikita kwenye uchumi wa buluu na uwekezaji. Watalii wameongezeka sana na wawekezaji kwenye sekta ya utalii pia wameongezeka sana.
Kampeni ya mama kuhusu utalii au royal tour imezaa matunda makubwa kwa Tanzania zote mbili
Tanzania moja, watu wamoja ,lengo letu moja, faraja yetu moja.
 
MATANGANYIKA MAPUMBAVU YALIYOAMUA KUUZA NCHI KWA TENDE NA HALUWA....🤣🤣🤣 Ningekuwa mimi ndo Samia ningetumia asilimia 10 ya mapato ya bara bya kila mwezi kuijenga Zanzibar!!

Samia anastahili pongezi kwa ajili ya wajinga waliolala usingizi wa pono na kuimba sifa eti Mama anaupiga mwingi.

Samia chota noti hazina jenga Zanzibar, MAPUMBAVU BARA yamelala usingizi!!!

Ongeza kabla ya uchaguzi teua IGP, Director wa TISS,Jaji Mkuu, Kamishna General wa Uhamihaji wote kutoka Zanzibar!!

Tunyooshe,TUNYOOSHE,TUNYOOSHE,TUNYOOSHE MAMA!!
🙏🙏🙏🙏🙏🚴🚴
mkuu umefika mbali
 
Back
Top Bottom