Hadi 2030, Zanzibar itakuwa kama Dubai!!

Wapo wamepiga kambi kwa Kabendera wanapambana na adui yao Magufuli subiri kwanza wakimaliza 2030 mapambano wataanza kufikiri Tanganyika.
 
mkuu hizo nyumba si hata Magomeni na Mbagala zipo, sasa na Zanzibar zikijengwa shida iko wapi?
 
Katiba yetu sijui ikoje - yaani una marais wawili afu wote wanatoka upamde mmoja wa muungano...laah
 
Wanapata wapi fedha????
Wanauza madini Gani?
Wanahifadhi za wanyama?
Wanalima kilimo Gani?
Mama ameongeza mgao wa pesa za mkopo na misaada yote kutoka nje, toka 4% mpaka 19%. Lakini mlipaji wa mikopo yote ni Tanganyika.

Watu wapo 3.3% ya population yote ya TZ lakini mgao wapesa za misaada na mikopo wanapewa 19%!! Kwa nini Zanzibar isibadilike?
 
Zanzibar ni sehemu ya Muungano!! What's wrong?
 
Mbona Tanzania Bara pia Kuna maendeleo makubwa awamu hii.
Tanzania visiwani imeamua kujikita kwenye uchumi wa buluu na uwekezaji. Watalii wameongezeka sana na wawekezaji kwenye sekta ya utalii pia wameongezeka sana.
Kampeni ya mama kuhusu utalii au royal tour imezaa matunda makubwa kwa Tanzania zote mbili
Tanzania moja, watu wamoja ,lengo letu moja, faraja yetu moja.
 
🙏🙏🙏🙏🙏🚴🚴
mkuu umefika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…